ryana fan
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 2,632
- 3,063
Sawa mkuu. Hata binti akiwa mgumu kiasi gani hawezi kufa na ubikra wake. Naamini ipo siku Sarri atatokana na ukome wa vikombeMnamakocha wawili viazi hapo sari hajawahi kucheza mpira na akiwa kocha hajabeba chochote
Ukija huyo zola kocha msaidizi sunderland na west ham zote alizishusha daraja wakatimulia mbali
ole akiwa mchezaj kabeba kila kitu ngazi ya club
Ukija kocha msaidizi wetu kabeba kila kitu na sir elex
Michael carick nae kabeba kila kitu
Hazard ndo mana wanazinguana na msimamizi wa mazoez sari hana medal yoyote
Sent using Jamii Forums mobile app