lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,732
- 26,019
Mkuu vyuma vikibana unakuwa na adabu, vikilegea kiburi kinapanda. Hao Man U wakati vyuma vinabana walipotea hata mtaani kulikuwa shwari wakati miaka ile ya Furgie utadhani Man U ni ya TZ kama ilivyo Simba na Yanga.Daah yan sasa ivi mnavimba kweli. Kipindi cha Mou wewe ulikua hutokei humu. Kweli maisha yanabadilika
Sent using Jamii Forums mobile app