Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,043
The Blues have been drawn at home to Luton or Sheffield Wednesday in the fourth round of the @EmiratesFACup! ⚽️
Wachezaji wa kiwango cha Cavani kule mbele ukimuondoa Hazard hatuna, majigambo ya nini wakati tunajijua, huko walipo wangekuwa wazuri tungesikia na tungeona, Batshuayi alijaribu Bundesliga lakini wapi hawezi kufukia kiwango cha akina Cavani hata Higuani. Chelsea kutaka kuwasajili hao wazee ni ili kutatua tatizo la muda mfupi. Katika maendeleo yeyote ni lazima uweze ku address issues za muda mfupi kati na muda mrefu. Kama Cheslea ikiamua kuaddress matatizo ya muda mrefu tu kwa kuwategemea wachezaji wanaochipukia tutaishia kuwa kama Arsenal hata top 4 kupata itakuwa ndoto kwetu. Mimi nafikiri busara nzuri ni kukabiliana na matatizo ya muda mfupi kati na mrefu kwa mbinu zenye kuleta tija kwa timuDuu Edson Cavani tena mbona Chelsea tuna wachezaji wengi wazuri tu wako kwa mkopo, Batshuay Tammy Abraham, kwa nini tusiwarudishe hawa tunaenda kusajili wazee.
Tangu aondoke Emmenalo Chelsea tunafel sana kwenye transfer market
Kwa nini huyu mzee yeye ni "I DON'T KNOW" tu!Sarri on Barella: "I don’t want to speak about players of other teams. If Cesc wants to go then we need a replacement. I don’t know the situation of Loftus, if it is serious. Without Cesc we are only five, we need a replacement."
Sisi ndio tuna mechi nyingi zaid January hii kuliko timu yeyote EPLKibarua kizito mbeleni, kama Pedro,Hazard , Willian na Loftus wako fit wote tuendelee na false no 9 tu,unless tusajili ready made strickerView attachment 989048
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unachosema ni kweli kabisa. Kwa muda mfupi tutatibu ila kama tu atakuwepo Cavan ila siyo Higuain huyu wa sasa.Wachezaji wa kiwango cha Cavani kule mbele ukimuondoa Hazard hatuna, majigambo ya nini wakati tunajijua, huko walipo wangekuwa wazuri tungesikia na tungeona, Batshuayi alijaribu Bundesliga lakini wapi hawezi kufukia kiwango cha akina Cavani hata Higuani. Chelsea kutaka kuwasajili hao wazee ni ili kutatua tatizo la muda mfupi. Katika maendeleo yeyote ni lazima uweze ku address issues za muda mfupi kati na muda mrefu. Kama Cheslea ikiamua kuaddress matatizo ya muda mrefu tu kwa kuwategemea wachezaji wanaochipukia tutaishia kuwa kama Arsenal hata top 4 kupata itakuwa ndoto kwetu. Mimi nafikiri busara nzuri ni kukabiliana na matatizo ya muda mfupi kati na mrefu kwa mbinu zenye kuleta tija kwa timu
Tukimpata Cavani tumetatua tatizo la mbele angalau kwa miaka mitatu ijayo kama hatapa injury. Higuain naye ni mzuri kwenye mfumo wa Sarri kwa sababu hata alipokuwa Napoli ktk mechi 35 alitumbukiza magoli 36. Japo nakiri kuwa kumsajili Higuain ni gambling kwa sababu ya umri wake na ufungaji wake umepungua lately may ni kwa sababu ya mifumo ya makocha wapya au uzee
Meanwhile ni Bora tuendelee na false no 9 kuliko kuanza na MorataMkuu unachosema ni kweli kabisa. Kwa muda mfupi tutatibu ila kama tu atakuwepo Cavan ila siyo Higuain huyu wa sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
EPL imemfanya Morata kama hajawahi kuwa mchezaji vile.Meanwhile ni Bora tuendelee na false no 9 kuliko kuanza na Morata
Sent using Jamii Forums mobile app
Meanwhile ni Bora tuendelee na false no 9 kuliko kuanza na Morata
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu hatakiwi kuuzwa hata kwa dawaDogo anasepaa...
Bayern Munich have made a fresh £35m bid for Callum Hudson-Odoi, reaching Chelsea's valuation of the winger.
Kinachotakiwa kufanyika ni Sarri kumhakikishia nafasi mara kwa mara, vinginevyo kwa 35m ni ngumu kumzuia maana kabakiza miezi 18 tu kwa mkataba wake.
Ni Nicolò Barella or Leandro ParedesChelsea are about to sign midfielders Nicolò Barella and Leandro Paredes in addition to Christian Pulisic. It's not looking good for Ross Barkley!
Kweli kabisa dogo amekua kisoka hivi sasaKinachotakiwa kufanyika ni Sarri kumhakikishia nafasi mara kwa mara, vinginevyo kwa 35m ni ngumu kumzuia maana kabakiza miezi 18 tu kwa mkataba wake.
Tuna imani Sarri atamtumia kama alivyosema kwamba kwa sasa ana nafasi sawa kati yake, William na Pedro.
Wacha tuonee.....