lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,490
Costa hata akija labda Luiz ndie ataweza kucheza nae, Jorginho na wasiwasi kama ataweza kumtengenezea mipira kama zile za FabNaona tumeweka. Interest kwa edson cavani na pia Atletico Madrd wanataka kumswap na diego costa
Cavani ni mzuri ila majeruhi huwa yanamwandama sana
Kama Costa anapatikana ni bora tumrudishe costa
Sent using Jamii Forums mobile app