Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,043
Zola says if Cesc Fabregas plays tomorrow he's sure he will deliver a good performance. #CHEFOR
Hivi yule jamaa wa Liverpool bado hajapita kusema nayo hii ni target yao tumevamiaChelsea are preparing a £36m offer for PSV wide man Hirving Lozano, according to reports in Calciomercato.
Source: Skysports
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii si ungewapelekea kule kwenye kambi yao, labda wanalihitaji kwa ajili ya kumbukumbu
Hii si ungewapelekea kule kwenye kambi yao, labda wanalihitaji kwa ajili ya kumbukumbu
May be!Mwisho wa hizo dharau ni 2019 May.
The sun..ni hovyo kabisa mkuu..Chelsea are close to offloading Alvaro Morata to AC Milan on loan, allowing Gonzalo Higuain to complete a loan move to Stamford Bridge, with a view to a permanent deal in the summer
Source: The Sun
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli kabisa mkuu..sky sport ndiyo source ya uhakikaThe Sun ni kama vile magazeti ya Shigongo huku kwetu.
Sasa na skysport inabidi wawe ovyo, maana katika skysport kuna section ya paper talks na Sun ni moja ya gazeti habari zake zinakuwa listed kwenye mtandao wao. Anyway, a gossip is a gossip and has to be taken as a gossip regardless of the paper it is coming from
Mshaanza kutengeneza za Champions 2018-19 tayari ?Mwisho wa hizo dharau ni 2019 May.
Chelsea are close to offloading Alvaro Morata to AC Milan on loan, allowing Gonzalo Higuain to complete a loan move to Stamford Bridge, with a view to a permanent deal in the summer
Source: The Sun
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshaanza kutengeneza za Champions 2018-19 tayari ?View attachment 986740
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona kule jukwaani kwenu watu Wana uhakika 100% kuchukua EPL as if wameanza kufuatilia EPL msimu uliopita , unaukumbuka msimu wa EPL 2011/12 , ule msimu kombe liliamuliwa dakika za nyongeza Mzee Fergie akabaki kukuna macho tu..Tulishajifunza mkuu, sasa hivi tunahakikisha concentration ni kubwa.
Naona kule jukwaani kwenu watu Wana uhakika 100% kuchukua EPL as if wameanza kufuatilia EPL msimu uliopita , unaukumbuka msimu wa EPL 2011/12 , ule msimu kombe liliamuliwa dakika za nyongeza Mzee Fergie akabaki kukuna macho tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza niseme wasomaji wengi almost 70+ % wanapenda Gossip (Tetesi) na ndio maana mitandao na media maarufu duniani wanapenda kutumia tetesi zaidi kama njia ya haraka kuwasilisha hidden news. Tetesi ni upashanaji wa taarifa kabla tukio halijatokea au limetokea lakini taarifa zimefichewa na wahusika. Na by nature taarifa nyingi hasa za usajili ni confidential ili competitors wasitumie mgongo wako kubenefit. Hivyo kuitoa taarifa za kiinteligensia kwa mfumo wa tetesi ndio cheap way ya kupasha habari. Sio kwamba taarifa za tetesi zote ni za uongo, hata kama hilo tukio halikutokea haina maana taarifa ilikuwa ya uongo. kuna media zingine zinapata taarifa kutoka kwenye reliable sources na wengine wanatumia secondary and wengine third party sources hawa wa third party mara nyingi tetesi zao ni za uongo au karibu na uongo.