Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,044
Usimfananishe Morata na Higuan. Kwanza physicality yao ni tofauti. Na higuan anaweza kukupa magoli zaidi ya 16 kwa msimu. Issue sio ubabe 😂😂 ishu kubwa hapo ni kumalizia tu Higuani ni mzuri tofauti na Morata, kwanza anapiga mashuti na pili ana nguvu kwahiyo huwezi kumfananisha na Morata ambae anakosa yeye na goli. Higuain msimu huu kwa AC Milan amepoteza nafasi 3 kubwa huoni kama ni ndogo sana. Short term atatusaidia hata mwisho wa msimu kuwa top 4. Hazard--Higuan-Fekir. Naamin karibun tutaona hii front. Zmebaki cku chache tyu usajir uanze