Lukub
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 3,796
- 4,297
Alonso akianzia benchi tutapoteza kitu kikubwa sana confidence yake itarudi tuKwa kiwango hiki cha Emerson , inatakiwa Alonso aanzie bench
Alonso akianzia benchi tutapoteza kitu kikubwa sana confidence yake itarudi tuKwa kiwango hiki cha Emerson , inatakiwa Alonso aanzie bench
Alonso akianzia benchi tutapoteza kitu kikubwa sana confidence yake itarudi tu
Alonso akianzia benchi tutapoteza kitu kikubwa sana confidence yake itarudi tu
Alonso bench? [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Hatuna MTU wa kupiga faulo haswa nje ya box ,faulo nyingi tunapata MTU wa Ku convert ndio huyo ambaye kwa sasa akili yake na miguu havikubalianiKitu gani hicho ??
willian yuko poa sema mpira wa sarri wa slow sidhan willi atakuwa wa conteAlonso na Willian sijui nn kimetokea kwao
+ Alonso. Baada tu ya kusaini mkataba mpya jamaa kapoa sanaAlmost all our players are improving except Willian. What is wrong with that guy? This isn't funny anymore.
Pia tatizo la Alonso ni mfumo wakati akicheza kama wing back aliweza kuperform vizuri sana tukumbuke tulikosa nafasi ya uefa kwa bad performance lakini Alonso alikuwepo kwenye kikosi bora cha EPL 2017/2018 , nacho kiamini Alonso round ya pili atabadilika