Njia nyeupe kwa Willian. Gate waziAccording to Daily Mail, Chelsea has won the race to sign Christian Pulisic. The deal is expected to be announced next month but Pulisic will join Chelsea in summer. The transfer fee is close to £60m.
Odoi atamuweka nani nje.? Bora hao RLC na Emerson wanaonyesha mwanga wanaweza kuleta changamoto kwa Alonso na Kova/Barkley. Au Odoi acheze kulia kwa Willian ila walau kule kuna Pedro anampa changamoto Willian.Odoi, Loftus Cheek, Emerson wawe wanaanza PL.
Sio kana kwamba Willian ni mbaya, akichezeshwa na watoto wasiojua mpira anacheza fyongo lakini ebu mpange na wazoefu wenzake hasa mbele awepo Hazard, Pedro na WillianEvery Pl match Pedro has started in Chelsea have won.
With Willian starting ahead of Pedro weve lost twice & drew twice. So 8 points dropped which Willian was big reason for.
What is wrong with Sarri? its clear Pedro is better & stats show this
Tunawakumbusha tu ule mwaka mlishaanza na kuuaza na t shirt za kushangilia ubingwa Ila mnakumbuka kilichowapataNawasalimu wana Chelsea, naona mpinzani wenu Arsenal kwenye top 4 jana kapunguzwa, hope mtakuwa mmefurahi sana.
Tunawakumbusha tu ule mwaka mlishaanza na kuuaza na t shirt za kushangilia ubingwa Ila mnakumbuka kilichowapataView attachment 970266
Hahaha, kumbukumbu tunayo, mwaka huu tunajua ubingwa ni wa Man City, sisi tumemshikia nafasi.
Pamoja na hilo, haituzuii kushangilia matokeo yaliyopo.
"Mwaka wenu" huu ... Sisi tunaendelea kutafuta namba ya nne tu, hatuna chetu msimu huu
Hivi Mentor kapotelea wapi ??
Unatakiwa umaintain hilo gap na man city mpaka utakapoenda etihad, any slip hapa katikati inaweza kubadili tena upepo wa mbio za kuchua EPLSisi yetu namba 2, hiyo tuna uhakika nayo.
Ukiamua kutukabidhi mwaka huu uwe wetu tutaupokea pia.
Unatakiwa umaintain hilo gap na man city mpaka utakapoenda etihad, any slip hapa katikati inaweza kubadili tena upepo wa mbio za kuchua EPL
EPL ni ngumu Sana, na mbaya zaidi kila mwaka inazidi kuwa ngumu , unatakiwa kuwa na kikosi kipana Sana kuweza kumaintain EPL, FA na champions league , next match Una Wolverhampton, hawa mbweha ni mabingwa wa kung'ang'ania timu kubwaThat is possible, ila February na March ni ngumu sana, hapo ndo atakapotupita, UEFA knockouts, FA itakuwa ni kipindi kigumu.
Jamaa ana quality bench kitu kinachompa nafasi ya kubattle game zitakapokuwa nyingi, jana tuliwafunga Man Utd kwa sababu sasa hivi ni wabovu, ndo maana tuliwazidia sana.