Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,044
pia nikukumbushe Hakuna mshabiki wa Liverpool Tanzania kashuhudia live team yake ikichukua epl kumbuka miaka ya 90 Tanzania yetu haikuwa na TV na nasikitika mpaka mtaingia kaburini Hakuna ubingwa mtaona mpaka miaka 50Tunaendelea kukumbushana wakubwa
Golie ghali duniani zaid: Kepa Arizibagabaga ameshatunguliwa mara 13 katika mechi 15 epl hadi sasaAfadhali yeye Golie bora kabisa duniani coutour katunguliwa mengi zaidi ya huyu kwa hivyo hakuna point hapo tafuta kingine,pia golie bora wa kikosi cha dunia de save katunguliwa zaidi, ila ubora upo pale pale hii sio habari
F**ck Chelshit you got no historypia nikukumbushe Hakuna mshabiki wa Liverpool Tanzania kashuhudia live team yake ikichukua epl kumbuka miaka ya 90 Tanzania yetu haikuwa na TV na nasikitika mpaka mtaingia kaburini Hakuna ubingwa mtaona mpaka miaka 50
Dude , nimeacha Kuku quote muda mrefu Sana wala sitakuja Kuku quote tena kwenye maisha yangu ya JF , ...
Please quote me ukitoka hapa , masikio yasizidi kichwa
View attachment 958582
MEZA YA MAKUMBUSHO:Mkuu usicheke!
Kichekesho Kipo hapa Chini 😀😀
Yani Hata yule Goal Machine Mtaalamu Thiery Hanrry hakuwa na Uhakika waKufikisha goli 35+ then Kiboyaboya tu aje Afike Bajaji ya Udongo Hazadina 😀😀
Kuna hii na last team from EPL to win Euefa champions leagueTu
Tuwekee basi na picha ya Uefa 2005 Mkuu
Nipo kakahili Sarri kalijibu mara nyingi kwamba kwa mfumo wake KAMWE hatamchezesha Kante mido ya Kati. kwa style ya mpira anaofundisha ni either Joginho ama Fab. upo kiongozi?
Kwa hii kauli nimemshangaa sana Sarri, kama kiongozi, kama kocha unakiri vipi tena hadharani kwamba huwezi kumfunga opponent wako? Ni motivation gani unayowapa wachezaji wako, kama si kuwakatisha tamaa kwamba hawawezi kumshinda City hata siku moja?Sarri on beating Guardiola's City: "I don't know, against Guardiola I lost every match, you have to ask someone else." #CFC #MCFC
Kuna hii na last team from EPL to win Euefa champions leagueView attachment 959744
Da sijui nijipe ganzi kabisa
Najua Mashabiki wengi Wa Liverpool wanataka Chelsea leo ishinde!
But Fanboys Wa Chelshit wana Kidomodomo sana Kwahiyo Bora Leo Mupigwe Nyingi tu.
Natumai Leo Nitashiriki Katika Msiba hapa
Afadhali tupigwe tutakosa wote mwakani Sisi tunajiimarisha tunachukua epl, hatuwezi kukaa miaka minne bila kubeba epl ila wewe uendelee kusubiri meli airport ,nasema tupigwe tukose wote epl currently ni ya City na ChelseaNajua Mashabiki wengi Wa Liverpool wanataka Chelsea leo ishinde!
But Fanboys Wa Chelshit wana Kidomodomo sana Kwahiyo Bora Leo Mupigwe Nyingi tu.
Natumai Leo Nitashiriki Katika Msiba hapa