Wewe Coward wivu wa kucheza finally ya Carling cup?
Hahahaha,Chief, you've just hit a nerve! Huyo coward utamwona leo ananing'inia hapa jamvini lakini Arsenal wakicheza anaingia mitini, hawezi kusimama kiume kama wenzie, mwoga kama fisadi Kikwete, they both can't face people.
Fisadi Wacha1 ni zaidi ya Mkwere kwa unafiki na cowardliness kwenye soka.
You should tell that to your fellow supporters and fans at Chelsick ... .... .... . .no wonder you've disappeared.
Objectively on whose perspective? A maggot?
Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Hahahaha,Chief, you've just hit a nerve! Huyo coward utamwona leo ananing'inia hapa jamvini lakini Arsenal wakicheza anaingia mitini, hawezi kusimama kiume kama wenzie, mwoga kama fisadi Kikwete, they both can't face people.
Fisadi Wacha1 ni zaidi ya Mkwere kwa unafiki na cowardliness kwenye soka.
Hahahahaha! halafu jamaa nae ni wale wazee wa matamko nini? Mbona hawezi kujieleza vizuri?
Arsenal will be without Robin van Persie and Theo Walcott for their Champions League last-16 second leg match at Barcelona on 8 March.
Walete walete walete...I hope hawa Chelsick hawataniharibia siku lakini tayari wameshafanya makosa kwa kumuanzisha yule mviziaji wa magoli toka L'pool badala ya Drogba.
YouTube - Pepe Kalle - Roger Milla
Nona Pound mil 50 inalizimishwa kuzaa matunda lol. Drogba ghafla akawa hafai lol.