lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,692
- 25,907
Katika mechi hiyo nakumbuka Drogba alifunga goli la kichwa la karne kuisawazishia Chelsea na kufunga penalty ya mwisho (Chelsea aikashinda kwenye penalties dhidi ya Bayern Munich)[emoji122] Didier Drogba has retired after a legendary career,
1 x Champions League
4x Premier League
4x FA Cup
3x League Cup
2x Community Shield
2x PL Golden Boot
1x Süper Lig
1x Turkish Cup
1x Turkish Super Cup
2x African POTY
1x Turkish POTY
[emoji146] The king, @didierdrogba. iChelseaTweets on TwitterView attachment 927362
Man of the Match akiwa Drogba (Goli la kuanzisha) na Peter Cech kuokoa penalti ya dakika za mwisho ya Roben