kalou
JF-Expert Member
- Aug 22, 2009
- 4,992
- 3,879
In Kepa we TRUST
In Kepa we TRUST
Hachomoki hata kwa dawa mkuuNipigien man u wikiend hii abak huko huko shimoni
Yutong 3 hazitoshi hata wangeweka 20 kipigo hakikwepeki kwao hata radika analijua hiloHilo bas watakalopaki kwa sarri ball itabidi waagize Yutong kama...3 hivi,

Inshallah.....!!!Nipigien man u wikiend hii abak huko huko shimoni
Subutu mkuu kaa mkao wa kula kesho eden kimarioYutong 3 hazitoshi hata wangeweka 20 kipigo hakikwepeki kwao hata radika analijua hilo![]()
![]()
Ila arsenal achukue kombeNipigien man u wikiend hii abak huko huko shimoni
Kepa ni best kipa de gea anasubir
Mbaki shimon ,Ila arsenal achukue kombe
Nilijua mnatetea ubingwa tukifungwaMbaki shimon ,
Nategemea basi la kutosha tu kutoka kwa mourinhoSubutu mkuu kaa mkao wa kula kesho eden kimario
Style ya mpira wa mourinho inajulikana hata alipokuwa kwenu msihadaike na mpira wa sali mkasahau mafanikio yenu yametokana na busNategemea basi la kutosha tu kutoka kwa mourinho
Mkifunguka mnakufa nyingi
Hii ni chelsea ya tofauti kabisa mkuu huwezi kusema mourinho anaijuaStyle ya mpira wa mourinho inajulikana hata alipokuwa kwenu msihadaike na mpira wa sali mkasahau mafanikio yenu yametokana na bus
Chelsea anaweza kushinda hii ni kutokana na vitabia vya hapa karibuni anaekuwa nyumban ndo mwamba.