Me Hazard naona kila msimu kauli yake ni hii hii na waandishi wanazidi kumuuliza na anajibu hivi hivi.
Kuhama England kwenda Spain ni ngumu sana kwa Hazard kwanza Familia ina enjoy pale London. Unapohama nchi moja kwenda nyingne familia haina budii Ku adapt. Hazard ana Mke na mtoto.
Courtois ilikuwa ni rahisi kwa sababu familia yake ipo Kule. Yeye mwenyewe aliona kazi kuwahamisha kutoka Madrid to London.
Hazard kwenda Real Madrid inategemea na kocha mpya kama huyu akifukuzwa. Kwa mfano Conte ndo aende Madrid ha ha hah Hazard haendi Ng'oooo
Na kuna reporter wa RM amesema Madrid inamtaka Neymar na Eriksen wa Tottenham
Me nao hazard atasain mkataba mpya.