Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kama anaweza kuanza kwenye kwenye 1st eleven naamini anaweza kunitengenezea namba ya kudumu. Pia kuitwa timu ya taifa kunamrudishia confidence.

Tusubiri muda useme.
Anaweza kuwa mkuu lain hatafika level za Lampard...

Kwanza dkk anazocheza uwanjani ni chache sana.

akipata nafasi kama gemu tano mfululizo anweza kutengeneza confidence ya maana.

Tukamwita nu Lampard.
 
Wakuu wakati wa mechi sikuwa na mtandao kabisa nikashindwa kusherehekea ushindi pamoja nanyi na kubadilishana mambo mbalimbali.

Kwa upande wangu nimeridhishwa sana na kiwango cha Barkley. Kuhusu kipa sina cha kusema sidhani kama kuna mtu ana mashaka naye tena. 3 point + clean sheet.

Hollaaa Blues

Magoli mawili kahusika na hasa goli la kwanza bila juhudi yake Hazard asingefunga. Ndio maana baadhi ya mashabiki wanadai Chelsea ilimuoba kutoka Evaton
 
Chelsea - Southampton thoughts:

- So deserved by Barkley
- Kepa better every minute
- Azpi = Big concern
- Willian = Wasteful
- Jorginho quietly crucial
- Giroud always helps
- Bad time for an int. break for Morata
- Rüdiger, please be OK
- Hazard w/ Sarri = Absolute Hazard

Mimi ni muumini mzuri wa Willian tangu aje darajani 2014 lakini tangu juzi aanze kulalamikia ratiba ya mazoezi kubadilishwa na leo kupoteza mipira tena ya hatari nimeacha kumuamini. Apite kule mbali leo kaboa saba na Sarri naye akachelewa kumbadilisha. Hukobeleni awe anaanza Pedro na yeye apewe 15 or 10 minutes only
 
Chelsea - Southampton thoughts:

- So deserved by Barkley
- Kepa better every minute
- Azpi = Big concern
- Willian = Wasteful
- Jorginho quietly crucial
- Giroud always helps
- Bad time for an int. break for Morata
- Rüdiger, please be OK
- Hazard w/ Sarri = Absolute Hazard

Goli la pili kazi kubwa na nzuri ya Giroud Congrats
 
Even though it's too early but I can proudly say that Kepa will definitely turn out to be an upgrade on Courtois. He stays so calm and composed when under pressure and distributes the ball perfectly. And these quick reflexes are just amazing.
#SOUCHE
 
USHAURI WA BURE!
Kwa wahabiki wa Chelsea na Liverpool, much respect kwenu!!, hivi mnaonaje na nyinyi mkawa na THREAD yenu maalumu kwa ajili ya timu zenu?, i guess timu kama Liverpoll ni kongwe na haiwezi kosa mashabiki wengi humu JF. Kwa Chelsea AB-TICHAZ you can take that initiative or s'one else..!

Nafikiri itapendeza zaidi kuliko kuwa na ad hoc threads na pengine esp. zile zinazojitokeza kukiwa na 'supriz' na matokeo kama ya jana.

Ni mtizamo tu-Thanks!!
tumelifanyia kazi tayari
 
JOHN TERRY IN NUMBERS
19 - Number of years since he made his Chelsea first-team debut
696 - Number of Chelsea appearances
78 - Number of England caps
41 - Number of Premier League goals scored for Chelsea
26 - Number on the back of his Blues shirt
14 - Number of major titles he won as Chelsea captain (4 Premier Leagues, 5 FA Cups, 3 League Cups, 1 Champions League, 1 Europa League)
17 - Age when he made his senior Chelsea debut as a substitute in League Cup game against Aston Villa
6 - Number of times he was sent off in the Premier League
36 - Number of Aston Villa appearances
1 - Number of goals scored for Villa
 
In FOOTBALL :
If you want to witness HISTORY - See. LIVERPOOL
If you want to witness SUPPORT - See BORUSSIA DORTMUND
If you want to witness LOYALTY - See JUVENTUS
If you want to witness POWER - See AC MILAN
If you want to witness 'Magic of Football' - See BARCELONA
If you want to witness GOALS - See MANCHESTER UNITED
If you want to witness SKILL - See REAL MADRID.
If you want to witness EXPERIENCE - See BAYERN MUNICH
If you want to witness FOOTBALL SPIRIT - See ARSENAL
and
If you want to witness ALL OF THE ABOVE - See *CHELSEA*


SarriBall
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom