Hapo kwa man utd inaonesha hii post iliandikwa miaka ya 2010 hivi.In FOOTBALL :
If you want to witness HISTORY - See. LIVERPOOL
If you want to witness SUPPORT - See BORUSSIA DORTMUND
If you want to witness LOYALTY - See JUVENTUS
If you want to witness POWER - See AC MILAN
If you want to witness 'Magic of Football' - See BARCELONA
If you want to witness GOALS - See MANCHESTER UNITED
If you want to witness SKILL - See REAL MADRID.
If you want to witness EXPERIENCE - See BAYERN MUNICH
If you want to witness FOOTBALL SPIRIT - See ARSENAL
and
If you want to witness ALL OF THE ABOVE - See *CHELSEA*[emoji7][emoji7]
SarriBall [emoji7][emoji7][emoji7]
I want to be excited kwa back to back goals from Morata lakini I have been here before, heis not reliable
Chelsea tuna wachezaji wengi sana tuliowatoa kwa mikopo na wanafanya vizuri
Team Passes StatsNaomba ambae ana statistics za timu inayoongoza kwa pasi top 4 yake ,na wachezaj wanaoongoza kwa kupiga pasi mpaka sasa inaumuhm sana kwangu ,
Shabiki lialia wa the Blues
Ikiwa City na Chelsea wapo Kwenye Top 4, nafasi Mbili Zilizobakiani Ni Liverpool, Spurs, Arsenal na Man United....
Kama Nitakosa Top 4 kwasababu ya Salah kama unavyojiaminisha! Basi Na Spurs atakosa Top 4 kwasababu ya Harry Kane kwasababu Kane naye Muda huu Kaflop kama Salah.. Au unasemaje?
Ukweli usiofichika Ni Kwamba Spurs Na Man United msimu huu Hawana ubavu Wa Kumaliza Juu Yangu.
So, Sina worry yoyote ya Mwakani Kucheza UCL...
Futuhi sio Kimbilio langu Kwa Next season.
My take: Lolote laweza Kutokea
Mkuu tukipata hivi vichwa viwili au hata kimoja, sijui ni timu gan epl itaweza kutuzuia.
Nmemcheki uyo dogo Rugani you tube, ni balaa ..january tufanye kweli aise! Body iache utani kabisa
Hahaha hakuna namna mkuu.Unafyekelea mbali huko. Ukiona pumba unafyeka, zikizidi unafyekelea mbali.......
Apo uwakika tuna fyekaa gemu zotee...Ratiba Yetu si ngumu sana
Hazard anaongeza motisha nzuri kwa wachezaji. Maana wanajituma wakijua mbele kuna mtu wa uhakika. Tatizo ni morata tu!Nimegundua pia, uwepo wa Hazard unaongeza kiwango cha attacking mids mwenzake. Game ya Willian ya leo ni tofauti sana na ya juzi, Alhamisi.
Team Passes Stats
1. Chelsea 5,729
2. Manchester City 5,638
3. Liverpool 4,771
4. Tottenham Hotspur 4,398
5. Manchester United 4,329
6. Arsenal 4,209
Player Passes Stats
1. Jorginho Chelsea 853
2. Aymeric Laporte Manchester City 741
3. Antonio Rüdiger Chelsea 629
4. Granit Xhaka Arsenal 626
5. David Luiz Chelsea 614
6. Virgil van Dijk Liverpool 579
Sources: Premier League First Team Club Statistics, Team & Player Stats
Willian Siku za hiv karibuni amafloap sana ..anatoa pasi nyuma ya mtu, hana tagert ya maana kwa kipa wa timu pinzani..Mimi ni muumini mzuri wa Willian tangu aje darajani 2014 lakini tangu juzi aanze kulalamikia ratiba ya mazoezi kubadilishwa na leo kupoteza mipira tena ya hatari nimeacha kumuamini. Apite kule mbali leo kaboa saba na Sarri naye akachelewa kumbadilisha. Hukobeleni awe anaanza Pedro na yeye apewe 15 or 10 minutes only
Kufarijika Kwa Zamu Mkuu Mentor
• Tulicheza Chelsea vs Liverpool , Man City alikaa pembeni Kwa Kufurahia Droo ili iwe faraja Kwake.
• Tumecheza Liverpool vs Man City Chelsea mumekaa Pembeni Kuvizia Droo ili iwe faraja Kwenu.
√ Sasa Na Mimi I'm waiting for Chelsea vs Man City kusubiri matokea yoyote hapo ili nifarijike.
Kucheka Kwa Zamu! Huenda Namimi Nikachekea Droo au Mmoja Kati yenu Kupoteza.
Mpk wakati huo December team zitakua zimeachana points. Zitakua sio zote timu tatu zimefungana point km ilivyo sasa hivyo matokeo yoyote wakati huo yanaweza yasiwe na manufaa Kwa Liverpool.Tarehe 08 Disemba...saa kumi na mbili za jioni!
Muda huo huo utakuwa ukikipga na Bournemouth.