Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,930
- 27,184
Siyo nyinyi mliokua mnasema ni timu ya kuanzia 2004.?Chelsea since 1905
1 UEFA CL title, 5 league titles![]()
Siyo nyinyi mliokua mnasema ni timu ya kuanzia 2004.?Chelsea since 1905
1 UEFA CL title, 5 league titles![]()
Co mmSiyo nyinyi mliokua mnasema ni timu ya kuanzia 2004.?
Maybe aliongelea in terms of mafanikioSiyo nyinyi mliokua mnasema ni timu ya kuanzia 2004.?
Walisafir na kikosiOdoi na Ampadu alishasema ana mipango nao hivyo atawatumia tu kuna carabao na FA pia
Halafu hakusafiri nao

Hii kuchelewa kusafiri kutoka Greece juzi sijui kama hakutatuathiri kwenye game yetu na Westham.
Hii game na Westham ni London derby na huwa wanakaza sana.
Naamini wale waliopumzishwa watasaidia wengine.
Nimepita pita mitandaoni, sijaona kama kocha alifanya press conference kuongelea mechi hii. So labda kesho kabla ya mechi au leo usiku tutajifanyia ya kwetu hapa jukwaani.
Kwa sasa wacha tuendelee kubeba mabox. #KTBFFH #CFC
Mkuu kweli una wasiwasi na timu kama Westham?
Wana kaza ila sio kwa hii sarriball mkuuHii kuchelewa kusafiri kutoka Greece juzi sijui kama hakutatuathiri kwenye game yetu na Westham.
Hii game na Westham ni London derby na huwa wanakaza sana.
Naamini wale waliopumzishwa watasaidia wengine.
Nimepita pita mitandaoni, sijaona kama kocha alifanya press conference kuongelea mechi hii. So labda kesho kabla ya mechi au leo usiku tutajifanyia ya kwetu hapa jukwaani.
Kwa sasa wacha tuendelee kubeba mabox. #KTBFFH #CFC
Uingereza hakuna timu ya kuzarau mkuu. Usiwe mwepesi wa kusahau ya nyuma. Hukumbuki Swansea alikufanya Nini last season na Sasa yupo wapi au umewasahau ile timu inayocheza ligi ya mchangani alikutoa kwenye Carabao Cup. Au hukumbuki FA Cup Nani alikutoa.Mkuu kweli una wasiwasi na timu kama Westham?
Jioni imeshapita... vipi mmeshaijadili timu yetu?Kama msimu uliopita mlifungwa na timu ambazo msimu huu zimeshuka daraja (Westbrom na Swansea), nimejifunza kutoidharau timu yoyote.
Tukutane jioni...nadhani baada ya game yenu tutakuwa hapa tukiijadili timu yetu na mtanange wetu wa kesho