Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,930
- 27,184
Ni kazi sana kumpa mchezaji ambaye ndio msimu wake wa kwanza na wakati wapo wachezaji downtown kitambo. Anatafutwa mchezaji ambaye ataweza kuongea na marefa vizuri na ambaye ana influence in and out of dressing room.Me naona Jorginho apewe nikimuangalia kwny video nying dressing room. Ni mgeni na mcheshi na hata uwanjani ni kama kiongoz
Kwangu naona Azpi bado ana nafasi. Then vice captain apewe Hazard.

