Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,043
Luiz mm simuamin kabsa hajitumi cku hiz. Uvivu na overconfidence na kukaba kwa macho. Maana pass hata Christensen ni mzuri sana
Roho mbaya itakuumiza siku zote. Kuna ubaya gani mtu kuleta mambo ya twitter humu. Alichofanya huyo jamaa kuna tofauti gani alicholeta huyo na nilicholeta mimi.? Poorest and lowest thinking ability.
Mara ya kwanza niliona kama wanakuonea kwa sababu sikujua ugomvi wenu ulipoanzia lakini sasa naona wewe ni mtu wa aina gani.
Naona akipewa Hazard.Sarri anasema ameshafanya maamuzi ya nani atakuwa captain wa timu ila hatotangaza mpaka atakapokaa kikao na wachezaji .
Je unafikiri nani anafaa kuwa captain?
Kwangu naona Azpilicueta aendelee tu
bora mumpe yule shortman HazardSarri anasema ameshafanya maamuzi ya nani atakuwa captain wa timu ila hatotangaza mpaka atakapokaa kikao na wachezaji .
Je unafikiri nani anafaa kuwa captain?
Kwangu naona Azpilicueta aendelee tu
Nimeangalia mahijiano ya Luiz kipindi hili cha international break, ineonekana kuna kitu Sarri anakiona kwa Luiz, nikitulia nitaituma hapaLuiz mm simuamin kabsa hajitumi cku hiz. Uvivu na overconfidence na kukaba kwa macho. Maana pass hata Christensen ni mzuri sana
4 games , 2goals ,2 assists ...je huu ndio msimu wa Hazard kufikisha 20+ goals za EPL .. msimu bado mbichiiiThis is Chelsea.
Wikend tunahesabu ushindi mwingine.
Ni kawaida yetu.
Wale wengine wameshinda game nne tu wanajipa na uhakika wa ubingwa.
Come on #theBluez #londonIsalwayzBlue![]()
![]()
![]()
Hazard anaweza kupewa, ila mm naamini atapewa kiungo au bekiNaona akipewa Hazard.
N'golo Kante?Hazard anaweza kupewa, ila mm naamini atapewa kiungo au beki
Kitambaa kitabaki kwa huyo aliyekaimu ktk mechi nne, ambaye ni mspanishN'golo Kante?
Kitambaa kitabaki kwa huyo aliyekaimu ktk mechi nne, ambaye ni mspanish
Cahill was so bad last season mpaka watu tukiona Luiz amefanya silly mistakes tunamkumbuka Christensen instead of him, just imagine hapo kati wawepo Luiz na Cahill kwa formation hii ya SarriI really hope so.
Naona akipewa Hazard.
Deserve in what way? I think Azpi ana deserve zaidi ya Hazard kwa sasa.Huyu Ndiye Anayedeserve Kuwa Captain Wa Chelsea Kwasasa.
Ila tayarisheni Mchezaji Wa Kiengereza Kwa Ajili Ya Future Captain.
Deserve in what way? I think Azpi ana deserve zaidi ya Hazard kwa sasa.
Second point: Calum Hudson???
Man, now everyone understand you. Have a good time fella.Ukitoa Copy & Paste Jengine Munaloweza Ni Hili Mipasho.
Halafu Mimi sina tabia ya Kuhitaji Huruma Ya Mtu.
Have a good day.
Azpi ni bora aendelee kuwa captain ila nahisi atapewa Hazard kwa sababu alishasema toka kipindi cha pre-season.Sarri anasema ameshafanya maamuzi ya nani atakuwa captain wa timu ila hatotangaza mpaka atakapokaa kikao na wachezaji .
Je unafikiri nani anafaa kuwa captain?
Kwangu naona Azpilicueta aendelee tu
Me naona Jorginho apewe nikimuangalia kwny video nying dressing room. Ni mgeni na mcheshi na hata uwanjani ni kama kiongozSarri anasema ameshafanya maamuzi ya nani atakuwa captain wa timu ila hatotangaza mpaka atakapokaa kikao na wachezaji .
Je unafikiri nani anafaa kuwa captain?
Kwangu naona Azpilicueta aendelee tu
Tuombe kheri tushinde ila mkuu hii mechi ngumu. Cardiff wagumu nao. May be kitakacho tu favor tuko darajani.Leo tunashinda tena, ni idadi tu, leo pia tunaongoza ligi kwa mara ya kwanza kwa msimu huu