Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,054
- 27,458
Hii kauli huwa unaipinga sana. Hatimaye leo umesema kabisa utashinda game yetu. Naomba nikusubiri kwa hamu sana wewe na timu yako bora.Kabla ya Kunifunga hii 2018 unaweza Kumbuka na wewe Kwa Mara Ya Mwisho kunifunga ilikuwa lini? Na Je Kipindi Hicho Chote Nilikufunga Michezo mingapi?
2016 → 2017 → 2018 Kumbe Kusema Kote Kuwa Kwa Mara ya Mwisho Kukufunga ilikuwa Ni 2016 Ni kwamba nimekukosa Mwaka mmoja tu Wa 2017? 😀😀
Basi Mara hii 2018 nitarudia Kazi yangu Kukufunga.
Beki bado haijatulia mkuu. Haya mambo yatashughulikiwa mapema sana. Luiz, Rufiger bado hawajaelewanaMwenzio kaongea point unaongoza mbili bila zote zinarud fasta hilo tatizo lazima kocha afanyie kazi upende wa bek sasa ukishambulia kwa city na liverpool utapona?
Hii kauli huwa unaipinga sana. Hatimaye leo umesema kabisa utashinda game yetu. Naomba nikusubiri kwa hamu sana wewe na timu yako bora.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kuifunga Chelsea ilikuwa mwisho mwaka juzi.Umekosea! Hiyo kauli Haimaanishi Kwamba Ndiyo Nishajihakikishia Kuwa Lazima Nitakufunga! Ni Kauli Ya Kukukatisha tamaa tu Kuwa Liverpool kumfunga Chelsea, Arsenal na Man City huwa haihitaji iwe na Timu nzuri, Hata Nikiwa na Wachezaji Wa Kuungaunga tu Basi ninawafunga.
Labda Manure ndiyo ili nimfunge ninahitaji Niwe na Timu nziri kwa Siku hile ya Mchezo.
Luiz ni ball playing CB anafit sana kwenye mfumo wa Sari ndio best CB anayefit kwenye huo mfumoSijui Sarri anampendea nini Luiz ambaye alitakiwa kuwa China na Oscar. Wamweke Andreas Christensen acheze na Rudiger kwani anajituma
Wewe kuifunga Chelsea ilikuwa mwisho mwaka juzi.
Msimu huu ukijitahidi sana upate droo.
Hii komenti nahiifadhi hadi January.NYINYI HATA IKIFIKA JANUARY BASI NAWAHAKIKISHIENI KATIKA HUU UZI MUTAKUWA MUSHAPOTEANA
Labda man city lakini sio liverpoolJamani tuwe wakweli,mwaka huu pia TEAM hamna!
Aube anakosa bao 3 yy na goli
Mikhi anakosa bao la ajabu
Ilwobi anakos abao la wazi
Mkicheza vile na Liverpool,Spurs na Man City walahi mnakula 10-1
Mane au Salah au Firmino hawezi kosa seat up kama zile za Auba
Team kw akweli bado hamna
Nani hapa bado hayaogopi Majogoo?
Sidhani kama mabeki wamesahau kukaba kwa sababu hii ni kazi waliyokuwa wakiifanya chini ya conteMwenzio kaongea point unaongoza mbili bila zote zinarud fasta hilo tatizo lazima kocha afanyie kazi upende wa bek sasa ukishambulia kwa city na liverpool utapona?
Wacha aendelee kukaa bench tu Aingie kipindi cha pili maana anazinguaEden Hazard:
“Everybody know what I have said after the World Cup. But I’m happy here. I don’t want to talk about it yet. A lot has been said, but at the moment I’m happy. I have two years left on my contract and we’ll see what happens. Leaving this year? I won’t go.” (RMC)
#cfc Kristof Terreur on Twitter
Sent using Jamii Forums mobile app
samahani lakini una umri wa miaka mingapi vile mana yawezekana tangu umezaliwa hukuwahi ona liver ana kombe LA EPL nyie kila mwaka ni wazuri tulisha wazoea kuanzia kwa Steve ,Torres, yule muumaji yule na Leo Sarah na mane jipangeNYINYI HATA IKIFIKA JANUARY BASI NAWAHAKIKISHIENI KATIKA HUU UZI MUTAKUWA MUSHAPOTEANA
Lina Miaka 10 mbele Kombe la EPL kurudi London
Wewe huwezi kutwaa tuachie tuliozoea kutwaa EPLHongereni Kwa Kuongoza Ligi Kwa Masaa 20.
Mwenye Ligi Kampiga Mtu '6' ambaye nyinyi muliishia Kupata 3.
Kwahiyo Tayari ameshakamata Nafasi Yake.
Tuliobakia Tuishie Kusindikiza tu.
Nyie endeleeni Kujitangazia Ubingwa Wa Kusadikika.