Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Na Hata Mwaka 2005 ukiwa Na Kikosi Bora Kabisa Katika Historia Ya Timu ambacho Kilimaliza Ligi kwa Kufungwa Mchezo mmoja tu! Ni Liverpool Ndiyo iliyokuzuwia Kubeba Ubingwa Wa Champion League Kwa Kukutoa Wewe Kwenye Nusu Fainali.
Namaanisha Kwa Timu uliyokuwa Nayo ungelifika Fainali na AC Milan ungelibeba Kombe.

Kizuri Zaidi Ni Kwamba Liverpool ilipokuzuia ilibeba Kombe! Je Wewe Ulipoizuia Liverpool ulibeba Kombe?
Iyo game mlishinda kibahati sana ..

Mbna msimu wa 2011/2012 ukiwa na kikosi bora kabisa, nilikupiga pale Wembley final FA cup? 2-1

Mimi na wewe tumekutana mara 179.
Umenifunga mara 77,
Nimekufunga mara 62,
Tumedraw mara 40 ..tangu ilipokuwa "Division leagure one" mpk leo "Premier League"

Ivyo bdo game kma 15 twende sawa..ukitoa mbili za msimu huu( maana nitakuliza naje ndani) zitabaki 13.

September lazima utafutane...
 
Sasa Wewe Gerrard Kujikwaa akaanguka Mukapata Goli kwenu sio bahati?

Katika Kuweka Kumbukumbu sawa Ni Kwamba Hapohapo Wembley Mwaka 2006 FA Fainali nawewe nilikupiga 2 kwa 0.
Shukran Kwa Shuti la Radi lililopigwa na John Anne Riise.
 
Sasa Wewe Gerrard Kujikwaa akaanguka Mukapata Goli kwenu sio bahati?

Katika Kuweka Kumbukumbu sawa Ni Kwamba Hapohapo Wembley Mwaka 2006 FA Fainali nawewe nilikupiga 2 kwa 0.
Shukran Kwa Shuti la Radi nililopigwa na John Anne Riise.
Ilikuwa 2-1 magoli ya liver yalifungwa na Luis Garcia na somebody Riine

Goli la Chelsea lilifungwa na King Drogba.
 
Iyo game mlishinda kibahati sana ..

Mbna msimu wa 2011/2012 ukiwa na kikosi bora kabisa, nilikupiga pale Wembley final FA cup? 2-1

Mimi na wewe tumekutana mara 179.
Umenifunga mara 77,
Nimekufunga mara 62,
Tumedraw mara 40 ..tangu ilipokuwa "Division leagure one" mpk leo "Premier League"

Ivyo bdo game kma 15 twende sawa..ukitoa mbili za msimu huu( maana nitakuliza naje ndani) zitabaki 13.

September lazima utafutane...

Duh hadi JPM atamaliza miaka yake 10 ndio uwe sawa na Liverpool katika kushinda hongera
 
Wewe Utakuwa Ni Mgeni Kwangu! Hebu Uliza Mimi Nimeshawahi Kujitangazia Ubingwa Katika Ligi Yoyote?
Mimi siamini Utabiri Bali Naamini Kinachoendelea Mkuu.
Kwa hiyo klop atautwaa ubingwa wa EPL msimu huu
 
Na Hata Mwaka 2005 ukiwa Na Kikosi Bora Kabisa Katika Historia Ya Timu ambacho Kilimaliza Ligi kwa Kufungwa Mchezo mmoja tu! Ni Liverpool Ndiyo iliyokuzuwia Kubeba Ubingwa Wa Champion League Kwa Kukutoa Wewe Kwenye Nusu Fainali.
Namaanisha Kwa Timu uliyokuwa Nayo ungelifika Fainali na AC Milan ungelibeba Kombe.

Kizuri Zaidi Ni Kwamba Liverpool ilipokuzuia ilibeba Kombe! Je Wewe Ulipoizuia Liverpool ulibeba Kombe?
Hapa mlibahatisha tu kuitoa chelsea ya wakati huo
 
Sasa Wewe Gerrard Kujikwaa akaanguka Mukapata Goli kwenu sio bahati?

Katika Kuweka Kumbukumbu sawa Ni Kwamba Hapohapo Wembley Mwaka 2006 FA Fainali nawewe nilikupiga 2 kwa 0.
Shukran Kwa Shuti la Radi lililopigwa na John Anne Riise.
Gerrald alikuwa mzembe
 
Hapa mlibahatisha tu kuitoa chelsea ya wakati huo

Mechi Zilikuwa Mbili Home and Away sasa Kwanini na Nyinyi Musibahatike Kupata ya Home Kwenu na Sisi Tukabahatika Ya Home Kwetu?

Acha Hizo bhana Liverpool Kumfunga Chelsea Ni jambo la Kawaida tu na wala si ajabu.
 
Arrizabalaga Kepa
ALL%20ABOUT%20CHELSEA--%20----%20on%20Instagram_%20_Antonio%20Ru.jpg
 
Atasaini tu Hazard ni mwelewa.

Sio kma Coutinyo.

Hazard Kashabeba EPL, Kashabeba FA.. Kwahiyo Chelsea hajabakisha Kitu! Sasahivi Anahitaji CL Na Pesa tu..
Kwahiyo Niwazi Kuwa Anaona Njia Rahisi Ya Kupata Pesa za Kumwaga pamoja na CL Ni Madrid Mkuu...
Nakuhakikishia Hasaini kataba Mpya.
Na Asipouzwa Basi ataondoka Bure Kwenda Real Kama De Gea atakavyoondoka Bure Man United.
 
Kinyang’anyiro cha Ligi Kuu England, kimeanza tangu wikiendi iliyopita, timu zinazotabiriwa kumaliza ndani ya nne bora, mabingwa watetezi Manchester City, Liverpool, Tottenham na Manchester United zikianza kwa kishindo.
Tottenham iliyoziengua Chelsea na Arsenal katika ‘top four’ ikitamba kwa msimu wa tatu mfululizo licha ya kujadiliwa sana kutokana na kutosajili mchezaji yeyote katika dirisha la usajili wa kiangazi, lakini imethitisha kuwa haikuwa na sababu za kusajili kwani inacho kikosi bora baada ya kushinda ugenini kwa mabao 2-1 dhidi ya Newcastle United.

Ujio wa Kocha, Maurizio Sarri, unaweza kuwa suluhisho kwa Chelsea, kwani aliiwezesha kushinda mabao 3-0 dhidi ya timu ngeni katika Ligi hiyo, Huddersfield Town, lakini wikiendi hii ndipo atapaswa kuthibitisha kama anao ubavu wa kuchuana kuing’oa Tottenham ndani ya nne bora.
Sarri atathibitisha hilo, atakapoiongoza Chelsea kuikaribisha Arsenal kwenye Uwanja wa Stamfodge Bridge, iwapo itaondoka na ushindi wa kishindo kama ilioupata kwa Huddersfield ataanza kuwashawishi wengi kuipa nafasi ya kufanya vema msimu huu.
Arsenal jana Jumapili iliyopita ilicheza mechi yake ya kwanza ya ushindani bila Arsene Wenger kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1996, licha ya kuwa nyumbani kocha Emery Unai hakuweza kuiepusha na adhabu kutoka kwa mabingwa watetezi City na kufungwa mabao 2-0.

Kocha wa kuwa huyo wikiendi ijayo pia atakuwa katika wakati mgumu kwani atasafiri kuifuata Chelsea moja ya timu ambazo zinaonekana zina vikosi bora vinavyoweza kupigania ubingwa.
Kwa upande wake Kocha City, Pep Guardiola alitamba kuwa kikosi chake kitazidi kutoa dozi kwa kila timu itakayocheza nayo akidai timu hiyo inamarika siku hadi siku.
Guardiola alisema kuwa anaamini katika mechi ijayo sio Bernardo Silva na Raheem Sterling pekee walioifungia mabao hayo, watakafunga tena wikiendi ijayo bali wafungaji wataongezeka watakapoikaribisha Huddersfield Jumapili hii.

Nayo Manchester United chini ya Jose Mourinho imeanza vema Ligi baada ya kuichapa timu bingwa ya Ligi hiyo msimu wa 2015/16, Leicester City kwa mabao 2-1 na wikiendi hii itaifuata timu isiyo na uzoefu ya Brighton.
Upande mwingine, Henrikh Mkhitaryan aliyehamia Arsenal akitokea United pamoja na washambuliaji mahiri Pierre-Emerick Aubameyang na Alexandre Lacazette hawakuibeba Arsenal kama walivyofanya katika timu zao za zamani Aubameyang alikua tegemeo la mabao kwa Borussia Dortmund ya Ligi Kuu Ujerumani ‘Bundesliga’ na Lyon ya Ufaransa ‘Ligue 1’.
City ambayo iliilaza Chelsea mabao 2-0 katika mchezo wa Ngao ya Jamii inaonekana kuzidi kuimarika kila kukicha na sasa ni wazi kuwa inaweza kuandika historia ya kuwa timu ya kwanza kutetea taji la Ligi Kuu.

City iliyomnunua Riyad Mahrez pekee katika dirisha la usajili wa kiangazi kwa Pauni 60 milioni kutoka Leicester City, alionyesha ana kitu amekiongeza kwa City.
Mitambo ya Liverpool inaonekana imeongezeka nguvu na imeonyesha dalili kuwa itaangamiza zaidi msimu huu baada ya Sadio Mane kufunga mawili, Mohamed Salah na Daniel Sturridge nao wakitupia, huku James Milner na Robeto Firmino, wakicheza soka la kiwango cha juu, hata hivyo Liverpool wikendi hii itakuwa ugenini ikiifuata Crystal Palace.
 
Hazard Kashabeba EPL, Kashabeba FA.. Kwahiyo Chelsea hajabakisha Kitu! Sasahivi Anahitaji CL Na Pesa tu..
Kwahiyo Niwazi Kuwa Anaona Njia Rahisi Ya Kupata Pesa za Kumwaga pamoja na CL Ni Madrid Mkuu...
Nakuhakikishia Hasaini kataba Mpya.
Na Asipouzwa Basi ataondoka Bure Kwenda Real Kama De Gea atakavyoondoka Bure Man United.
Acha ujinga kwa hiyo wachezaji wa liver wahame kisa team haijawahi kutwaa ubingwa wa EPL
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom