So alonso outHii Lineup unaionaje
Huyu kocha hii ndio mifumo yakeView attachment 809218
sarri ahakikishe tunanyanyua kwapa,sio acheze tu mpira halafu ndoo hakuna, mwenzake kaondoka katupa ndoo mbili misimu miwili mfululizo..asije kutuletea habari za ki-wenger wenger..
Huamini kwamba kuna mashabiki wa Chelsea waliosema Conte alikuwa sahihi kumfukuza Costa na wewe ukawa unabishana nao?
haaaaaa vikombe ndo muhimu boss..Mtanyanya kwapa mkiwa mnachana nywele mkuu.
😀😀😀