ha aha ha ha ha ha msibaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wenyewe wako wapi humu.
GAME OVER...........L'pool 1..Chelsea 0..........Point tatu safi...out of top four ni Liver tu kashinda this weekend...Hongereni sana...Hata hii moja kwa Nunge mi naona kama mmeshinda koz mlitakiwa kupigwa 4....................
Haya kaka Masanilo, sema jingine! umeamini utabiri wangu?Endelea kushika chuma!
Nne zinapita kwenye goli la Arse sio Chelsea.
Tupo mkuu, naona mambo yetu mabaya leo. Nafikiri ilikuwa mapema sana kumwanzisha Torres, anaonekana alikuwa under pressure kuanzia mwanzo. Anyway, ligi bao inaendelea, ndio kwanza twist and turns zimeanza.
Ukiona mwenzio ananyolewa na ww tia maji....
Poleni waungwana.
Mkuu ndio nilikuomba list yenu siku mliomsajili Torres.Mmefanya kosa sana kutomuanzisha Malouda.
Namtafuta Peasant mara ya mwisho alionekana kwenye thread ya Arsenal akiwa na Rev Masanilo lakini ghafla bin vu haonekani. Naomba ndugu na jamaa watusaidie isije ikawa huyu popobawa kawafanya vibaya. Bundi huyu hapa chini alionekana amechoka kutoka safari yake ndefu kutoka kule Old trafford.
Tafadhali Mungiki Brother, ambaye amekuwa Invisible pamoja na kuwa tupo kwenye musimu wa kimbunga cha Elnino tunaomba mtusaidie kumpata Peasant wetu akiwa na Rev Masanilo. Rev kishoka swala zako zinahitakiwa hivi sasa kuliko wakati mwingine wowote.
Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Bado hajaelewana na wenzie katika game ngumu kama hii JINA halikua la msingi kama Ushindi....Hii weekend itakua TAMU sana kwa Man City and T'Ham fanz..........
Khekheeeeeeeeeeeeeeeeeeee... khekhekhekheeeeeeeeeee... ati? tok to the hand?Talk to the Hand
Mkuu ndio maana nilikuomba list yenu siku mliomsajili Torres.Mmefanya kosa sana kutomuanzisha Malouda.
Yule Lampard naona kama mzigo pale midfield au macho yangu? mnahitaji play maker pale kati wa kuwalisha forward wenu ,lampard ni mzuri mnapotumia striker mmoja na yeye kucheza nyuma ya striker.