We jamaaa acha utani na sisi aiseeeLoris Karius Mukiongea na Liverpool Kwa Sasahivi Mutampata Kwa £7m anaweza Kuwasaidia Sana tu.
Kwanza Bado umri wake Ni Mdogo Ataboreka Zaidi.
Haina Haja Ya Kupoteza Mamilioni ya £ wakati Kipa Wa Bei Rahisi Yupo.
😀😀
Vip huyo kovacic yupo vizuri? Binafsi mimi sijawahi mshuhudiaFekiri, kepa, kovacic tunabeba kabla ya dirisha kufungwa
Klopp imemchukua muda gani kuifanya Liverpool iwe ilivyo leo? Mm nimemkubali baada ya kuona vitu Fulani vipya kwenye hiyo mechiChelsea 0 - 1 Man City
Kwa hali hii Ni Genius kweli. 😀😀
Hii comment naomba usiifuteDakika 59' minutes: Chelsea 0 - 2 Man City
Sasahivi Maurizio Sarri ataanza kukiona Kutoka Kwa Plastic Fans wenye hasira ambao tuliwaambia Sarri si Kocha Wakatubishia 😀😀😀
Reserve your comment manTuwe wakweli tu
msimu huu hatuna kikosi cha mapambano, kocha mwenyewe anajua kuvuta sigara tu, sitarajii makubwa kutoka chelsea
Leo tumemnunu kipa kwa £71. Hii ni rekodi ya dunia nzimaNa ndio maana wanapambana abakie, Kotua kashasema hataki kubakia wanachelewesha kutoa majibu, Roman sijui ameingiliwa na nini
bifu la Russia na England limemuharibu huyu jamaa, kama vipi auze timu kwa wale wachina tu
Hao ni shabiki bandia wa Chelsea. Wasikupe shida mkuuYani ghafla tushaanza kumponda kocha mapema yote hii
Pia Barkley tumwangalie Sana msimu huu pamoja na Odoi. Hawa ni sawa na new signings kwenye timuKikosi kakikuta na mchezaji aliyemleta sote tunakiri ni jembe, Jorginho. Tumpe muda kwa kweli.
Ni kiungo mzuri sanaVip huyo kovacic yupo vizuri? Binafsi mimi sijawahi mshuhudia
Kazinguaje?OYAA UYU SARI KAMA KAANZA KUZINGUA
Unampa kichwa bure tu Liverpool imetwaa ndoo gani msimu uliopitaKlopp imemchukua muda gani kuifanya Liverpool iwe ilivyo leo? Mm nimemkubali baada ya kuona vitu Fulani vipya kwenye hiyo mechi
Uzuri wa shabiki halisi wa mpira ni kwamba huwezi kuhama timu hasa clubOya mi nahama ili chama naenda manure nikatafute vikombe najua kwa sarri tutasubiri sana nakuumia
Hatununuagi rejects sisiLoris Karius Mukiongea na Liverpool Kwa Sasahivi Mutampata Kwa £7m anaweza Kuwasaidia Sana tu.
Kwanza Bado umri wake Ni Mdogo Ataboreka Zaidi.
Haina Haja Ya Kupoteza Mamilioni ya £ wakati Kipa Wa Bei Rahisi Yupo.
😀😀
Kweli, lkn ukiiangalia Liverpool ya kabla ya Klop ilikuwa ovyo kabisa baada ya miaka mitatu ndo mpira wa Klop unaanza kuonekanaUnampa kichwa bure tu Liverpool imetwaa ndoo gani msimu uliopita
Mafanikio ya team ni kutwaa hata kombe moja kila msimu
Unampa kichwa bure tu Liverpool imetwaa ndoo gani msimu uliopita
Mafanikio ya team ni kutwaa hata kombe moja kila msimu
Hakutakuwa na timu Ulaya nzima yenye viungo wa kiwango cha Kante, Joginho na Kovacic View attachment 829756View attachment 829757
Reserve your comment man