Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

" Conte had received criticism for how he axed Diego Costa and how he undermined his squad by saying he wanted batter players " ..Thank you Conte and best of luck uko uendako
kuna tetesi kuwa hatapewa compensation yeyote kutokana na hayo....club inamlalamikia kwa kuitia hasara, disputes na wachezaji pamoja na lack of communication na board.
 
Hapo kwenye hasara sijaelewa
Diego Costa mbali na kucheza mpira ni brand....makampuni mengi yalikuwa yamewekeza kwake, pili ile issue na Conte ilimshusha thaman sokon...akauzwa bei chee....Diego hakuwa wa kuuzwa kwa bei ile.....hayo ni machache tu...bado yapo mengine mengi....nadhan kwenye mkataba wa conte kuna terms zinawaaruhusu Chelsea kutomlipa compensation kama itatokea atafanya hayo...ndiyo maana wanajiamn....nasikia conte anajiandaa kwenda kuidai fidia mahakaman...Chelsea nao wamejipanga wanajiamin...ila ni tetesi.
 
Ok hapo nimekupata kabisa
 
Maurizio Sarri ...?
Ngoja niingie Google nicheki wasifu wake binafsi "CV" .

Sijui ana mataji mangapi tokea awe mkufunzi wa mpira

Sijui aliwahi kumfunga Conte aliyeondoka nafasi anayokalia mara ngapi?

Sijui mchezaji gani mkubwa aliwahi kumfundisha maana kukaa na mastaa kazi.

Sijui kafika hata robo fainali ya mashindano ya kimataifa mara ngapi?

Yaani kila kitu sijui tu kuhusu Sarri ila nachojua alikuwa vizuri kumshindikiza Juventus kutwaa taji kila msimu.

YAJAYO YANACHEKESHA, TUTAMKUMBUKA ANTONIO CONTE NA MIZUKA YAKE YA USHANGILIAJI!
Haya maneno yatamkuta wa arsenal
 
Diego Costa mbali na kucheza mpira ni brand....makampuni mengi yalikuwa yamewekeza kwake, pili ile issue na Conte ilimshusha thaman sokon...akauzwa bei chee....Diego hakuwa wa kuuzwa kwa bei ile.....hayo ni machache tu...bado yapo mengine mengi....nadhan kwenye mkataba wa conte kuna terms zinawaaruhusu Chelsea kutomlipa compensation kama itatokea atafanya hayo...ndiyo maana wanajiamn....nasikia conte anajiandaa kwenda kuidai fidia mahakaman...Chelsea nao wamejipanga wanajiamin...ila ni tetesi.
Conte amelipwa chake, sijui hiz habar umeziokota wpi,
 
Diego Costa mbali na kucheza mpira ni brand....makampuni mengi yalikuwa yamewekeza kwake, pili ile issue na Conte ilimshusha thaman sokon...akauzwa bei chee....Diego hakuwa wa kuuzwa kwa bei ile.....hayo ni machache tu...bado yapo mengine mengi....nadhan kwenye mkataba wa conte kuna terms zinawaaruhusu Chelsea kutomlipa compensation kama itatokea atafanya hayo...ndiyo maana wanajiamn....nasikia conte anajiandaa kwenda kuidai fidia mahakaman...Chelsea nao wamejipanga wanajiamin...ila ni tetesi.
Tetesi za Manzese

Roman amemlipa Conte kwa kuvunja mkataba na amewalipa Napoli kwa kuvunja mkataba wa Sari
 
hii article umeisoma na kuielewa kweli; hapa wametaja tu kile kipengele cha compensation kwa conte, ila hakuna sehem waliposema chelsea wamemlipa fidia, ukiipata source yeyote iliyo confirm conte kulipwa fidia....nchek inbox nna zawadi yako.
Chelsea imemfukuza kazi Conte so automatically wanamlipa compensation
Conte alishaanza pre-season wiki hii

FYI
Kwenye mkataba kama upande mmoja ukivunja mkataba aliyevunja mkataba anamlipa other side of the contract

Hii ni jambo la kawaida kwa Roman kuvunja mkataba na kuwalipa makocha anaowafukuza
 
duh! powa mkuu...time will tell....sijawahiandika bila kufanya tafiti
 
haka ni kama katabia ka wachezaji na board ya Chelsea,wachezaji kama hazard,William,luiz,terry,curtois, n.k walikuwa hawafurahii kuwa chini ya conte,wao walijua tu kwamba roman abramovic hawezi kumvumilia conte endapo atakosa nafasi ya kucheza champions league msimu ujao,kwa makusudi kabisa wakawa wanajilegeza ktk mechi za mwisho za ligi ili waikose top 4,lakini fainali FA wakakomaa wakachukua,jinsi alivyoondoka conte,sarri nae ataondoka vivyohivyo!kwa sababu hiyo ni tabia iliyojengeka kwa wachezaji ambao ni mamemba hapa chelseafc..
 
Antonio Conte #serialwinner#
PhotoGrid_1531418435128.jpg
PhotoGrid_1531418377221.jpg
PhotoGrid_1531418201942.jpg
FB_IMG_1528096663496.jpg
FB_IMG_1527755758076.jpg
 
Anafundisha mpira huo ndo ukweli ni kocha mzuri.

Kuna kitu kimoja nakishangaa sana watu wanasema kocha hana makombe sijui anavuta sana kuvuta fags hayo ni maisha yake atajua mwenyewe.

Kuhusu makombe mbona Pochettino hana makombe na watu wanamtaka kwahiyo kuna timu akienda ambayo ni kubwa anaweza kupata hayo makombe na hata Sarri akija Chelsea anaweza kupata makombe maan wachezaji wa Chelsea wakikupenda wanajitoa na kupambana kama ilivyokuwa kwa Conte msimu wa kwanza tu.
 
Chelsea have fired Conte with cause for reasons relating to his behavior. For instance, Conte's messages to Diego Costa before the Spaniard left the club. The move would mean Conte and his assistants would not be paid their remaining salaries. (via @DiMarzio) [HASHTAG]#CFC[/HASHTAG]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom