Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,044
Bakayoko started the season with a 10/10 at Wembley and ended it with another 10/10 at Wembley. Everything in between is forgiven, @TimoeB08.
Kombe gani hilo lenye pesa ndefu kuliko EPL.? Mshindi(EFA)anapewa kiasi gani ukijumlisha na haki za matangazo?Ahsante. Ni kombe yenye pesa ndefu kuliko hata EPL. Pia ni kombe lenye heshima England. Bora sisi tumeambilia hicho kuliko kutoka haba.
Because it was a very tough season for him caused by Chelsea BoardConte says to win in this way in this season has given him more satisfaction than some of his wins in the past. [HASHTAG]#FACupFinal[/HASHTAG]
hata ile mechi ya liver jamaa alikuwa anatambaa tu kama sio yeye..BakaYoko leo nimemwelewa sana
na nyinyi pia mngepaki!!Mmepaki sana basi leo. Mshukuruni Phil kucheza fyongo.
"ng'olo kante"huyu jamaa tumlinde sana ni mtu muhimu sana....
hizi hbr za watu udaku szip nafasi kwqnguMeneja wa Chelsea Antonio Conte anatarajiwa kuiaga Chelsea kwa saa 48 zijazo - huku meneja wa zamani wa Barcelona Luis Enrique anatarajiwa kuchukua nafasi hiyo. (Express)
Manchester City wanampango wa kumsajili kiungo wa kati wa Chelsea Eden Hazard,27, kwa mkataba wa £100m baada ya meneja Pep Guardiola kumuweka mchezaji huyo kuwa kiungo muhimu anayemlenga wakati wa uhamisho.(Star)
Mlinda lango kutoka Ubelgiji Thibaut Courtois, 26 ametishia kuihama Chelsea iwapo klabu hiyo haitatumia pesa zake kama klabu za ''Manchester United na City'' msimu huu wa joto. (Sun)
Hata Hazard naye katoa sharti kama la Courtois, ile bodi ishike adabu kukazana kusajili mabaki tu, Naiona Chelsea kuwa kama Arsenal wasipojirekebisha msimu ujaoMeneja wa Chelsea Antonio Conte anatarajiwa kuiaga Chelsea kwa saa 48 zijazo - huku meneja wa zamani wa Barcelona Luis Enrique anatarajiwa kuchukua nafasi hiyo. (Express)