Naona leo Herrera alipangiwa majukumu mengineMmebahatisha ninyi.
Kwanza asante sana!Hongereni Chelsea
Ndiyo makombe yenu hayo yatakuwa kuanzia sasa maana kupata EPL tena au nafasi ya UCL kupitia EPL msahau
Kwanza asante sana!
Pili tusubiri ninyi tuone kama mtaambulia chochote msimu huu...au ndio nafasi ya UEFA tu ndio kombe lenu
Ni vigumu kuheshimu mtu asiyejiheshimuUwe unaheshimu wakubwa zako
Eeeh! You won it tena? Mwanaume hasa mtu mzima huwa anasimamia kauli yakeWe won it ugly
Ha ha ha ha ha! Pole sana Mkuu...Unabeba UEFA? Ni vizuri kuwa na maono kama hayo.....ila ngumu sana.Hilo UCL isha libeba
Mwakani EPL nabeba pia
Wewe umetoka na kombe gani?Hongereni Chelsea
Ndiyo makombe yenu hayo yatakuwa kuanzia sasa maana kupata EPL tena au nafasi ya UCL kupitia EPL msahau
Mmepaki sana basi leo. Mshukuruni Phil kucheza fyongo.Naona leo Herrera alipangiwa majukumu mengine
Karibu kwenye jukwaa, tuko hapa kwenye kiangazi na masika, wageni mnakaribishwaEeeh! You won it tena? Mwanaume hasa mtu mzima huwa anasimamia kauli yake
Poleee sanaLeo ni Man Utd 2 - Chelsea 1
Ww ambae hjabahatisha umepata nnMmebahatisha ninyi.
Ww hili kombe mara ya mwisho umechukua linHongereni Chelsea
Ndiyo makombe yenu hayo yatakuwa kuanzia sasa maana kupata EPL tena au nafasi ya UCL kupitia EPL msahau
Hiv bdo hjaacha tu kazi ya utabiri mkuu huu sjui mwaka wa ngap unatbiri tu chakaHilo UCL isha libeba
Mwakani EPL nabeba pia

kwenye hili jukwaa tupo sambamba hila kule kwenye politics mhh hapanaHatimaye faraja nimepata ; Simba halafu chelsea imekamilisha package
Siku zote Nyani haoni _______ jibu unaloMmepaki sana basi leo. Mshukuruni Phil kucheza fyongo.
Ahsante. Ni kombe yenye pesa ndefu kuliko hata EPL. Pia ni kombe lenye heshima England. Bora sisi tumeambilia hicho kuliko kutoka haba.Hongereni Chelsea
Ndiyo makombe yenu hayo yatakuwa kuanzia sasa maana kupata EPL tena au nafasi ya UCL kupitia EPL msahau
Utacheza YUROPA mwakaniHiv bdo hjaacha tu kazi ya utabiri mkuu huu sjui mwaka wa ngap unatbiri tu chaka![]()