Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 268,282
- 1,096,069
Someone says ni habari za udaku,mashabiki maandazi bana wanajua kupanic sana
Hata Hazard naye katoa sharti kama la Courtois, ile bodi ishike adabu kukazana kusajili mabaki tu, Naiona Chelsea kuwa kama Arsenal wasipojirekebisha msimu ujao