Smart boy Shewedy
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 3,731
- 3,527
Huwezi kutuletea sababu kama hiyo ya kutuaminisha suala la kutoka mbali na kubana matumizi, alafu Bosi wako anamtaka kocha kama Guardiola.....haiwezekani mkuuUsimlaumu yule mama tangu zamani roma anamwamini sana wametoka mbali kwenye visima vya mafuta yeye ndiye alikuwa msimamizi wake wakuaminiwa na bwana mkubwa katika matumizi ya fedha ndipo akamua hadi kumleta darajani haujui mpira ila anajuwa kubana matumizi ya fedha hicho ndicho mpaka leo hata roma mkuu huyo wa body alaumiwe vipi anaziba masikio kutokana wametoka mbali
Sasa how unailaumu bodi while kocha ndio anataka nidhamu akamfukuza mchezaji bora akamtaka Morata akaletewa ?Hilo la Matic hata kocha alilizungumzia, hausika ktk kumuuchia.
Suala la Costa ni nidhamu, na kocha yeyote lazima asimamie nidhamu kwa wachezaji wake.
Linapo fika suala la usajili Body ya Chelsea inakuwa tatizo mno ktk ushirikiano kwa kochaSasa how unailaumu bodi while kocha ndio anataka nidhamu akamfukuza mchezaji bora akamtaka Morata akaletewa ?
Nafikiri tununue mastaa wa ukweli hasa washambuliaji mabeki wa maana winga tunazo za kumwaga
Ni muda wa kutumia pesa sasa aache ubahili sasa bwana roman
Nafikiri tununue mastaa wa ukweli hasa washambuliaji mabeki wa maana winga tunazo za kumwaga
Ni muda wa kutumia pesa sasa aache ubahili sasa bwana roman
Tangu Conte aje amenunua wachezaji wafuataoArsenal Baada Ya Kuchukuwa Ubingwa Mwaka 2004, Ujenzi Wa Uwanja Mpya Wa Emirates Ndiyo Uliyoifikisha Arsenal Pale ilipo.
Sasa Subiri Kwanza Uwanja Wenu Mpya Kwanza Umalizike Ndiyo Huo Usajili Wa Kutumia Pesa Ufanyike.
Kwasasahivi Roma ana project Kubwa Sana Ya £1B Ya Ujenzi Wa Uanja Mpya, Sasa Ni Vigumu Kummwagia Conte £300m Kwa Ajili Ya Usajili Wa Wachezaji Wa Maana Kwani Wachezaji Wa Ushindani Kwa Soko la Sasa Wanaanza na £80m.
Usajili ukiwa mzuri sawa. Tuna watu wengi ambao si useful,; Drinkwater, Barkley, Emerson, Moses, Bakayoko...Kwani mwakani Chelsea itakuwa hii hii?. Wako wengi wataondoka, usajili mpya utafanyika. Kocha mpya, timu mpya na ligi mpya ndivyo itakavyokuwa mwakani
Timu bado tuko nayo, majukumu yametufanya hatuonekani. Chelsea ni timu kubwa kila inapotia nyakati kama hizi huwa inajireform na kujiform upya. Hivyo huwezi kuiacha timu kwa sababu ya kutofanya vizuri.Haya ndiyo matatizo ya Baadhi Ya Watu Kuanza Kuipenda Timu Kwa Kuona imechukua Kombe!
Timu inapokuwa Katika Wakati Mgumu Wote Huikimbia.
Leo hii mumebaki Nyie Wawili tu Kwenye Uzi.
Hongereni Angalau Kwa Kuonesha Kutokata Tamaa Katika Kipindi hichi Kigumu.
Matic kauzwa na bodi. Luiz alipata injury na hata baada ya mgogoro alicheza mechi mbili. From there ameugua goti, sasa unatakaje hapo? Costa tu ndo kafukuzwa na Conte. Alafu alikuwa anajiona mkubwa kuliko timu. Mpaka siku nyingine abembelezwe ndo acheze, kesho atakwambia anataka kwenda China na utovu wa nidhamu kibao. Kama kocha alipaswa kumdeal hata kama hatua aliyochukua haikuwa nzuri.Bodi haikuwaondoa Costa na Matic,bodi haikumwambia Conte agombane Luiz
Choice ya Conte ilikuwa Lukaku, baada ya deal kufail ndo timu ikahamia kwa MorataTatizo kubwa la Chelsea msimu huu ni kufunga magoli,tuliwaambia ni kosa kubwa sana kumfukuza Costa mkasema Morata ni bora zaidi ataziba pengo
Conte alimtaka Morata bodi hiyo hiyo ikamletea
Haya klopp huwa havumilii ujinga refer..Sakho vs klopp..nidhamu ni kitu cha muhimu uwanjaniMatic kauzwa na bodi. Luiz alipata injury na hata baada ya mgogoro alicheza mechi mbili. From there ameugua goti, sasa unatakaje hapo? Costa tu ndo kafukuzwa na Conte. Alafu alikuwa anajiona mkubwa kuliko timu. Mpaka siku nyingine abembelezwe ndo acheze, kesho atakwambia anataka kwenda China na utovu wa nidhamu kibao. Kama kocha alipaswa kumdeal hata kama hatua aliyochukua haikuwa nzuri.
Makocha bora wote wanadeal na nidhamu ya wachezaji. Kosa la Chelsea na si Conte peke yake ni kukosea kufanya replacement ya Matic na Costa.
Kwa msomu uliopita Matic na Costa walikuwa nguzo ya muhimu katika ushindi wetu.Mi huwa najiuliza why chelsea ikifanya vizuri msimu mmoja unaofuata lazima waboronge chanzo ni nini wakuu
Kocha au tutimue wachezaji wote au nini hasa kinasababisha hali hii kwa chelsea
Tatizo si pesa wala uwanja. Angalia usijiri wa mwaka Jana.Arsenal Baada Ya Kuchukuwa Ubingwa Mwaka 2004, Ujenzi Wa Uwanja Mpya Wa Emirates Ndiyo Uliyoifikisha Arsenal Pale ilipo.
Sasa Subiri Kwanza Uwanja Wenu Mpya Kwanza Umalizike Ndiyo Huo Usajili Wa Kutumia Pesa Ufanyike.
Kwasasahivi Roma ana project Kubwa Sana Ya £1B Ya Ujenzi Wa Uanja Mpya, Sasa Ni Vigumu Kummwagia Conte £300m Kwa Ajili Ya Usajili Wa Wachezaji Wa Maana Kwani Wachezaji Wa Ushindani Kwa Soko la Sasa Wanaanza na £80m.
Haswaa, na hata Ferguson alikuwa hivyo, Wenger, Mourinho, na Guadiola wako hivyo. Tena hawa niliowataja ni strict kuliko hata ConteHaya klopp huwa havumilii ujinga refer..Sakho vs klopp..nidhamu ni kitu cha muhimu uwanjani