Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

There is no limit for Barkley to improve. Who knew Azpillicueta would be one of the best defenders in EPL? He was purchased only with 7million Euro.
Kununuliwa hela ndogo haimaanishi mchezaji ni mbovu mchezaji mzuri anajulikana mapema Barkley hawezi kufika level ya Lampard kama akiwa Everton alipata nafasi kubwa
 
Ni case tofauti Batshuayi amesha mature hakuna mtu wa kumpiga benchi hapo Chelsea ukizingatia Conte mechi nyingi anacheza bila striker tofauti na Pogba,KDB ilikuwa ngumu wao kupata namba mbele ya kina Lampard,Mata,Oscar,Scholes
It doesn't matter how he has matured but alikua nahitaji ile nafasi ili imsaidie kujiamini zaidi. Kuendelea kukaa palepale inamnyima nafasi kuaminiwa na kujiamini ye mwenyewe.
 
Wewe wa kusemaga rose bakley atakuwa kama lampard nakuangaliaga tu kwa sasa angalia ulichopost hapo sasa et akapate udhoefu aiseee
Wa kupata uzoefu nimemuongelea Batman. Rudia maandishi xangu mkuu. Huyo Barkley bado hajakaa sawa. Jua kwamba sijakataa maneno yangu
 
Kununuliwa hela ndogo haimaanishi mchezaji ni mbovu mchezaji mzuri anajulikana mapema Barkley hawezi kufika level ya Lampard kama akiwa Everton alipata nafasi kubwa
Amini kwamba kila kitu kinawezekana. Hizi kauli hazifai kwa baadhi ya watu mliojikatia tamaa ya maisha. Mnamezeshwa kila kitu na nyie mnakubali tu.
 
It doesn't matter how he has matured but alikua nahitaji ile nafasi ili imsaidie kujiamini zaidi. Kuendelea kukaa palepale inamnyima nafasi kuaminiwa na kujiamini ye mwenyewe.
Hayo ndio yaliyotokea kwa kina Salah,KDB,Pogba
 
Amini kwamba kila kitu kinawezekana. Hizi kauli hazifai kwa baadhi ya watu mliojikatia tamaa ya maisha. Mnamezeshwa kila kitu na nyie mnakubali tu.
Hata Magufuli anasema anajenga Tanzania ya viwanda lakini ukweli ni impossible
 
Si umeuliza wa everton nimekwambia ndio yeye
Au unamaanisha Rooney. Maana Ronaldo hajawahi kupita everton.katokea sp lisbon>man u> Madrid.

Labda Mimi nimechelewa kumjua huyo Ronaldo unayemzungumzia wewe.

Siku njema mkuu.
 
Au unamaanisha Rooney. Maana Ronaldo hajawahi kupita everton.katokea sp lisbon>man u> Madrid.

Labda Mimi nimechelewa kumjua huyo Ronaldo unayemzungumzia wewe.

Siku njema mkuu.
Rejea post yako ya kwanza kama ronaldo hakupita everton na unajua kwa nn uliuliza?
 
Rejea post yako ya kwanza kama ronaldo hakupita everton na unajua kwa nn uliuliza?
Niliuliza kwa sababu, umemwambia jamaa Ronaldo alinunuliwa kwa p18m na akaangalie statistics zake tokea akiwa everton zinapanda au zinashuka.?
 
Niliuliza kwa sababu, umemwambia jamaa Ronaldo alinunuliwa kwa p18m na akaangalie statistics zake tokea akiwa everton zinapanda au zinashuka.?
Unaelewa maana ya (hata)

Uliuliza kwa kejeli nikekujibu vile unataka jamaa nliekuwa nafanya nae mjadala anajua nn tunazungumzia kabla hujaquote mtu yafaa usome vizur post na kuona mjadala ulianzia wap
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom