Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Naomba Eden Hazard awe kwenye fomu siku ile ana Barca

Ona hii video goli la Hazard kawatoka walinzi watano wa Barca na kufunga goli zuri. Kweli Hazard ni hatari. Angalia kuanzia dakiak ya 1.58 pasi ya Xouma kwenda kwa Hazard ambaye aliwapanga wakabaji kama tano hivi wa Barca na kufunga goli
 
Mbna povu kubwa jibu kw hoja na sio kuanza kkashifu watu we mwnyw upo nyuma ya keyboard za sim inawezekana mtoto tu kw hyo mtoa hoja .
Mimi dogo nina mawe 53 wewe utakuwa na ngapi?
 
Ilikuwa umalizie tu "Ushabiki saa nyengine ni laana kwa Mashabiki Wa Chelsea" yaani unampima Beki Kisa Liverpool imefungwa na Swansea??
Kumbe nyie Mashabiki Maandazi Bado Mupo?

Sasa Huyo Christensen Wako si alifungwa na:-

1) Arsenal
2) Bournemouth Migoli 3
3) Watford migoli 4
4) Hesabu inaendelea.....

Je tumuhesabu Hafai???

Nyie Watoto Wa 1995 muna matatizo Kweli!! Eti Beki Kafungwa na Swansea!! 😀 😀 😀

Hivi Wewe Dogo Unakumbuka AC Milan ya Carlo Ancheloti ikiwa na Beki Visiki Duniani Kwa Wakati Huo Kama Paulo Maldin, Nesta na Cafu lakini ilifungwa Goli 4 kwa bila na Deportivo La Coruna Kwenye [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG]? Je yuko anayethubutu kusema Maldin ni Mbovu Kisa tu alifungwa Nne bila? Sorry! Kumbe kipindi hicho ulikuwa Mwanafunzi Wa Chekechea (Kindergarten)!

Dogo elewa Hakuna Beki isiyofungwa Duniani Kwani Hata Hiero alifungwa akiwa na Real Yake.

Kufungwa na Swansea si Kigenzo cha Ubovu Wa Beki!

Yap! VVD ni £75m! Lakini Kwa Jinsi Alivyoituliza na Kuibadilisha Beki Yetu yote basi sisi Liverpool tunasema Wazi Kuwa basi hiyo £75m ni Bargain Kwetu! Jamaa anajua tena maajabu anacheza uzuri akiwa hana Kiungo Mkabaji (Defensive Midfielder) Wa maana Coz anacheza na Hendo ambaye Hata hajui uwanjani jukumu lake ni Nini!!!

Lakini Kinachowauma Nyinyi Chelsea Nishakijua! Ni Wivu tu Kwasababu Aliikataa Chelsea na Kuchagua Liverpool!
Labda umesahau Kuwa Chelsea na Man City walikuwa Wakimtaka Kwa hali Yoyote hile!!
Sasa Chelsea nao Walikuwa Wakimtaka Mchezaji mbovu??

Dogo jifunze Kureply kwa Wakubwa Zako.
hili povu lote ni kutetea75 yako tu? kidding
 
Hiv huuu uzi umekuwa wa mipasho tu unatumia nguvu nying sn kuongea na shabiki wa liverpuliii hata Epl haijui

But still Nina Five Stars [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG]..
Nina Three Uefa Europer League...
Nina 18 League tittles..
Sasa Sijui utanizidi Kwa Kipi na Kigenge Chenu Cha Chelshit Kilichoanzishwa Mwaka 2005?
Utasubiri sana Kufikia Mafanikio ya Liverpool!!!
No history, No legends! You are nothing!!
 
Inaonesha Huyo Shabiki Mwenzio Haelewi Kuwa Champion League Ni "Game Of Chance"...

Mkumbushe Kuwa Mwaka 2005 Liverpool Alifungwa na Chelsea kwenye [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] Nyumbani na Ugenini, lakini Walipokutana na Huyuhuyu Chelsea Kwenye Champion League Nusu Fainali Liverpool alimtoa Chelsea na Kusonga Mbele Kwa Sababu ya Game of Chance na Liverpool akaitumia Chance.

Msimu huo Wa 2005 Liverpool Kwenye Ligi ([HASHTAG]#EPL[/HASHTAG]) alikamata nafasi ya 5 nyuma ya Everton aliyekamata Nafasi ya 4! Lakini Liverpool Alibeba Kombe la Champion League.

Kwahiyo Champion League Ni Game of Chance na Ukiitumia Chance Vizuri basi Mutamfunga Barcelona kiulaini Kama Real alivyomfunga [HASHTAG]#PSG[/HASHTAG].

eden kimario
Aisee Barcelona akiwa uwanja wa camp nouw ni bilaa, PSG alifanywa nini mwaka, namuogopa sana kwenye uwanja wake
 
Mnapigwa kipigo cha ulimboka...
Chelsea na United hamwezi kuvuka round hii ya best 16.

Only Spurs, City na Liverpool ndio guarantee.
Hata UEFA champions league 2011/12 season mlijifanya akina Shehe Yahya hivi hivi lakini mkaumbuka.
Uzuri ni kwamba kwamba Chelsea haogopi timu yoyote na haogopi matokeo ya mechi!
 
Aisee Barcelona akiwa uwanja wa camp nouw ni bilaa, PSG alifanywa nini mwaka, namuogopa sana kwenye uwanja wake

Ondosha Fikra hizo venginevyo utakosa sifa ya Kuwa Mashabiki Wa Chelsea!
Barcelona ni Wa Kawaida tu Mkuu usishuhulishwe na Kutokufungwa Ligi ya Kwao kwani Kule hakuna ligi...
 
But still Nina Five Stars [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG]..
Nina Three Uefa Europer League...
Nina 18 League tittles..
Sasa Sijui utanizidi Kwa Kipi na Kigenge Chenu Cha Chelshit Kilichoanzishwa Mwaka 2005?
Utasubiri sana Kufikia Mafanikio ya Liverpool!!!
No history, No legends! You are nothing!!
Mafanikio ambayo ww hukuyaona wala kuyashiriki hayana maana kama mafanikio uliyoyaona na kuyashiriki
 
Mafanikio ambayo ww hukuyaona wala kuyashiriki hayana maana kama mafanikio uliyoyaona na kuyashiriki

Hii si Kauli sahihi ya Kimpira! Kumbuka tunapozungumzia Mafanikio Haimaanishi Kuwa Ni Mafanikio yangu Mimi Bali ni Mafanikio ya Timu.
So, Haijalishi Kuwa Nimeyaona au Sikuyaona ingawa nimeishuhudia [HASHTAG]#EuropaCup[/HASHTAG] na [HASHTAG]#EuroperSuperCup[/HASHTAG] Mwaka 2001 na [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG] Mwaka 2005.

Au unamaanisha Mtoto aliyezaliwa 2018 hatayahesabu Mafanikio ya sasa ya Chelsea kiss tu hakumuona Conte akichukua [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] Wala Di Matteo akichukua [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG]?
 
But still Nina Five Stars [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG]..
Nina Three Uefa Europer League...
Nina 18 League tittles..
Sasa Sijui utanizidi Kwa Kipi na Kigenge Chenu Cha Chelshit Kilichoanzishwa Mwaka 2005?
Utasubiri sana Kufikia Mafanikio ya Liverpool!!!
No history, No legends! You are nothing!!
mmebaki tujipamatumaini ya historia!
 
But still Nina Five Stars [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG]..
Nina Three Uefa Europer League...
Nina 18 League tittles..
Sasa Sijui utanizidi Kwa Kipi na Kigenge Chenu Cha Chelshit Kilichoanzishwa Mwaka 2005?
Utasubiri sana Kufikia Mafanikio ya Liverpool!!!
No history, No legends! You are nothing!!
History maters less than your current performance. Only a fool person will boast on his history but a wise man will show what he is doing
 
Hii si Kauli sahihi ya Kimpira! Kumbuka tunapozungumzia Mafanikio Haimaanishi Kuwa Ni Mafanikio yangu Mimi Bali ni Mafanikio ya Timu.
So, Haijalishi Kuwa Nimeyaona au Sikuyaona ingawa nimeishuhudia [HASHTAG]#EuropaCup[/HASHTAG] na [HASHTAG]#EuroperSuperCup[/HASHTAG] Mwaka 2001 na [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG] Mwaka 2005.

Au unamaanisha Mtoto aliyezaliwa 2018 hatayahesabu Mafanikio ya sasa ya Chelsea kiss tu hakumuona Conte akichukua [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] Wala Di Matteo akichukua [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG]?
Haimsaidii sana Aston Villa kujivunia makombe makubwa 20 kwa Man City ambaye ana makombe 13.
 
Habari za kusikitisha ni kuwa Bakayoko hatoweza kuanza mechi dhidi ya Barcelona hiyo kesho kwa sababu anasumbuliwa na maumivu, hili linaweza kuwa pigo kubwa sana kwa chama letu pendwa Chelsea the blues na ikitokea chelsea kushindwa kupata matokeo mazuri hiyo kesho pengo la a Bakayoko litakuwa limechangia kwa kiasi kikubwa, get well Bakayoko a.k.a the GOAT midfielder
 
Yupo ndrinkwater, fabrigas, luiz pia anaweza kurudi na kucheza hiyo namba ila tuwe wakweli tu mi naenda kuitazama hii match lakini sina imani na hii team yangu kuhusu kuiondoa barca ikitokea basi hongera zao wachezaji
 
You don't get the sarcasm
 
Yupo ndrinkwater, fabrigas, luiz pia anaweza kurudi na kucheza hiyo namba ila tuwe wakweli tu mi naenda kuitazama hii match lakini sina imani na hii team yangu kuhusu kuiondoa barca ikitokea basi hongera zao wachezaji
Mkuu mbona huna Matumaini? Historia inatubeba ujue
 
Habari za kusikitisha ni kuwa Bakayoko hatoweza kuanza mechi dhidi ya Barcelona hiyo kesho kwa sababu anasumbuliwa na maumivu, hili linaweza kuwa pigo kubwa sana kwa chama letu pendwa Chelsea the blues na ikitokea chelsea kushindwa kupata matokeo mazuri hiyo kesho pengo la a Bakayoko litakuwa limechangia kwa kiasi kikubwa, get well Bakayoko a.k.a the GOAT midfielder
Hii ni habari njema, nimepitia baadhi ya websites na blogs mashabiki wengi wanasema Mungu yupo kumfanya Bakayoko ague ili asiwepo kesho
Chelsea fans are celebrating as midfielder is ruled out of Barcelona clash through injury

'Yessssss!!!': Chelsea fans overjoyed as Antonio Conte confirms Tiemoue Bakayoko will miss Barcelona clash

Soma hii hapa, mashabiki ni watu wabaya sana

tunde subair@tundesubair2012

@TimoeB08 am so glad to hear that u are injured. pls remain injured till the end of the season.

4:46 PM - Feb 15, 2018
 
Msimu tulioshinda UEFA tulifungwa game 10, tulimaliza mafasi ya sita. Tulifungwa na Liverpool (twice), Man City, Arsenal na Utd. Tulifungwa na QPR, Aston Villa na West Brom....

Kila mechi inajitegemea mkuu!
Well said
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom