Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Academy ya Chelsea ni moto wa kuotea mbali. nyota ya Chelsea itang'aa zaidi siku za usoni.

(Na: Antonio Conte)

Kwangu mimi si vigumu kutabiri uwezo wa Ampadu na Hudson-Odoi. Kipindi cha nyuma wakati tunacheza kombe la Carabao na lile la FA Cup niliwapatia nafasi za kucheza. Tunangelea kuhusu wacheji wawili wazuri kwenye Academy yetu.

Tuna pia Dujon Sterling na Trevol Chalobah, pia kuna Kyele Scott ambaye naya atakuwa na sisi kwenye game ya kesho (leo).
Kwa wachezaji hawa vijana, unaona kabisa nyota ya Chelsea ikingaa siku za usoni.

Ampadu:

images

Odoi:
nintchdbpict000363812020-e1516036596490.jpg

Dujon] Sterling

dujon-sterling-of-chelsea-u19s-during-the-uefa-youth-champions-league-picture-id846046152

Trevoh Chalobah

trevoh-chalobah-of-chelsea-during-the-uefa-youth-league-group-c-match-picture-id862824246

Kyle Scott

Kyle+Scott+Chelsea+v+Tottenham+Hotspur+1RBOztsJk73l.jpg

Mkuu Hiyo Academy Yenu ipo Zimbabwe? Coz naona Mateenager wote Ni black!! (Natania tu) 😀 😀 😀

By the way! Hao wote wataishia Kuuzwa na Kutolewa Kwa Mikopo Wakang'are Kwenye Timu nyengine! Wameshapita wengi kama hao Kwenye Academy ya Chelsea matokezeo Yake Sasahivi Wanafaidika Wengine.
 
Hivi kama tunafungwa na wattford bao 4
Vipi barcelona atatufunga ngapi?
Nauliza tu maana hii team siielewi kwa sasa
 
Mkuu barca wepesi tu jarbu kuchek game zao, tatzo chelsea ashambulie tu kuliko kupaki bas
Mnapigwa kipigo cha ulimboka...
Chelsea na United hamwezi kuvuka round hii ya best 16.

Only Spurs, City na Liverpool ndio guarantee.
 
Hivi kama tunafungwa na wattford bao 4
Vipi barcelona atatufunga ngapi?
Nauliza tu maana hii team siielewi kwa sasa

Msimu tulioshinda UEFA tulifungwa game 10, tulimaliza mafasi ya sita. Tulifungwa na Liverpool (twice), Man City, Arsenal na Utd. Tulifungwa na QPR, Aston Villa na West Brom....

Kila mechi inajitegemea mkuu!
 
acha usha
Mnapigwa kipigo cha ulimboka...
Chelsea na United hamwezi kuvuka round hii ya best 16.

Only Spurs, City na Liverpool ndio guarantee.
Acha ushabiki maandazi kuwa mtu wa mpira unajuaje km mm ni shabiki wa chelsea mm nimetoa mawazo yangu!
 
Msimu tulioshinda UEFA tulifungwa game 10, tulimaliza mafasi ya sita. Tulifungwa na Liverpool (twice), Man City, Arsenal na Utd. Tulifungwa na QPR, Aston Villa na West Brom....

Kila mechi inajitegemea mkuu!

Inaonesha Huyo Shabiki Mwenzio Haelewi Kuwa Champion League Ni "Game Of Chance"...

Mkumbushe Kuwa Mwaka 2005 Liverpool Alifungwa na Chelsea kwenye [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] Nyumbani na Ugenini, lakini Walipokutana na Huyuhuyu Chelsea Kwenye Champion League Nusu Fainali Liverpool alimtoa Chelsea na Kusonga Mbele Kwa Sababu ya Game of Chance na Liverpool akaitumia Chance.

Msimu huo Wa 2005 Liverpool Kwenye Ligi ([HASHTAG]#EPL[/HASHTAG]) alikamata nafasi ya 5 nyuma ya Everton aliyekamata Nafasi ya 4! Lakini Liverpool Alibeba Kombe la Champion League.

Kwahiyo Champion League Ni Game of Chance na Ukiitumia Chance Vizuri basi Mutamfunga Barcelona kiulaini Kama Real alivyomfunga [HASHTAG]#PSG[/HASHTAG].

eden kimario
 
Hivi kama tunafungwa na wattford bao 4
Vipi barcelona atatufunga ngapi?
Nauliza tu maana hii team siielewi kwa sasa

Msimu tulichukua Champions league kwa kuitoa Barcelona semi final na kuwapiga Bayern kwao ligi ya nyumbani tulifungwa na Liverpool(Home and away), Newcastle , Man City, West brom , Everton ,Aston Villa, Arsenal ,QPR na Man UTD .

Take a chill pill mkuu, mpira dakika 90
 
Inaonesha Huyo Shabiki Mwenzio Haelewi Kuwa Champion League Ni "Game Of Chance"...

Mkumbushe Kuwa Mwaka 2005 Liverpool Alifungwa na Chelsea Nyumbani na Ugenini lakini Walipokutana na Huyuhuyu Chelsea Kwenye Champion League Nusu Fainali Liverpool alimtoa Chelsea na Kusonga Mbele Kwa Sababu ya Game of Chance na Liverpool akaitumia Chance.

Msimu huo Wa 2005 Liverpool Kwenye Ligi ([HASHTAG]#EPL[/HASHTAG]) alikamata nafasi ya 5 nyuma ya Everton aliyekamata Nafasi ya 4! Lakini Liverpool Alibeba Kombe la Champion League.

Kwahiyo Champion League Ni Game of Chance na Ukiitumia Chance Vizuri basi Mutamfunga Barcelona kiulaini Kama Real alivyomfunga [HASHTAG]#PSG[/HASHTAG].

eden kimario

na lile ghost goal la Garcia ,Mou mpaka kesho hawezi kulisahau
 
Chelsea 1 Hull City 0
Giroud anaassist, Willian anaingiza nyavuni. Hii assist ya pili kutoka kwa Giroud tangu amejiunga na Chelsea
 
  • Thanks
Reactions: SIM

Similar Discussions

Back
Top Bottom