Ilikuwa umaluzie umalize tu "Ushabike saa nyengine ni laana kwa Mashabiki Wa Chelsea" yaani unampima Beki Kisa Liverpool imefungwa na Swansea??
Kumbe nyie Mashabiki Maandazi Bado Mupo?
Sasa Huyo Christensen Wako si alifungwa na:-
1) Arsenal
2) Bournemouth Migoli 3
3) Watford migoli 4
4) Hesabu inaendelea.....
Je tumuhesabu Hafai???
Nyie Watoto Wa 1995 muna matatizo Kweli!! Eti Beki Kafungwa na Swansea!! 😀 😀 😀
Hivi Wewe Dogo Unakumbuka AC Milan ya Carlo Ancheloti ikiwa na Beki Visiki Duniani Kwa Wakati Huo Kama Paulo Maldin, Nesta na Cafu ilifungwa Goli 4 kwa bila na Deportivo La Coruna Kwenye [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG]? Je yuko anayethubutu kusema Maldin ni Mbovu Kisa tu alifungwa Nne bila? Sorry! Kumbe kipindi hicho ulikuwa Mwanafunzi Wa Chekechea!
Dogo elewa Hakuna Beki isiyofungwa Duniani Kwani Hata Hiero alifungwa na Real Yake.
Kufungwa na Swansea si Kigenzo cha Ubovu Wa Beki!
Yap! VVD ni £75m! Lakini Kwa Jinsi Alivyoituliza na Kuibadilisha Beki Yetu yote basi sisi Liverpool tunasema Wazi Kuwa basi hiyo £75m ni Bargain Kwetu! Jamaa anajua tena maajabu anacheza uzuri akiwa hana Kiungo Mkabaji (Defensive Midfielder) Wa maana Coz anacheza Hendo ambaye Hata hajui uwanjani jukumu lake ni Nini!!!
Lakini Kinachowauma Nyingi Nishakijua! Ni Wivu tu Kwasababu Aliikataa Chelsea na Kuchagua Liverpool!
Labda umesahau Kuwa Chelsea na Man City walikuwa Wakimtaka Kwa Bali Yoyote hile!!
Sasa Chelsea nao Walikuwa Wakimtaka Mchezaji mbovu??
Dogo jifunze Kureply kwa Wakubwa Zako.