Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tofauti ya chelsea ya 2012 na ya sasa

Chelsea ya 2012 ilikuwa na watu wa kazi
Chelsea ya 2012 ilikuwa na wapiga mashuti ya kuogofya langoni mwa wapinzani
Chelsea ya 2012 kuanzia mabeki, viungo, na washambuliaji walikuwa wanajua nini wanakitaka na wanakitafuta na wanakipata

Chelsea ya sasa haina wapiga mashuti wa kuogofya
Haina watu wa kazi labda mmoja tu ngolo kante
Haina watu wanaojua kukaba na kuzuia mashambulizi

Niwatakie tu mchezo mwema ila kama shabiki wao sina imani
Wakifanikiwa hongera zao nyingi mno
 
Vijana wetu watapewa motivation na Wakongwe.... Nadhani leo watakuwepo Darajan
 
Conte amesema kichwa kilikuwa kinamuuma wiki nzima kupanga namna ya kucheza na barcelona
 
Tofauti ya chelsea ya 2012 na ya sasa

Chelsea ya 2012 ilikuwa na watu wa kazi
Chelsea ya 2012 ilikuwa na wapiga mashuti ya kuogofya langoni mwa wapinzani
Chelsea ya 2012 kuanzia mabeki, viungo, na washambuliaji walikuwa wanajua nini wanakitaka na wanakitafuta na wanakipata

Chelsea ya sasa haina wapiga mashuti wa kuogofya
Haina watu wa kazi labda mmoja tu ngolo kante
Haina watu wanaojua kukaba na kuzuia mashambulizi

Niwatakie tu mchezo mwema ila kama shabiki wao sina imani
Wakifanikiwa hongera zao nyingi mno
Mbona unakata tamaa mapema hivyo mkuu,?lakini pia hapo umeangalia Chelsea ya 2012 ,vip barca ya 2012 ya wakina xavi,marchelano,alves ni sawa na hii ya sasa?
 
Mashabiki wa chelsea Mjiandae kisaikolojia leo lolote la wezakutokea.
 
180px-C%C3%BCneyt_%C3%87ak%C4%B1r_17_Feb_2015.jpg

wawe makini na huyu jamaa.... anarekodi nzuri sana ya kutoa red card mechi za chelsea
 
Mbona unakata tamaa mapema hivyo mkuu,?lakini pia hapo umeangalia Chelsea ya 2012 ,vip barca ya 2012 ya wakina xavi,marchelano,alves ni sawa na hii ya sasa?
Barcelona inaweza ikawa haijabadilika lakini chelsea imebadilika mno
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom