Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Shot on target 0
Touches in opposition penalty box 3
 
Bakausengee.. Drinkwater alimkosea nini Conte?
e86c6935c5cadb817f1f284ab711be04.jpg

Usajili bora wa msimu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwisha habar yenu bakayoko
Kashafanya yake
 
Chelsea ikicheza bila Straika Mbele tunaboronga why Conte anashindwa kunotice easy thing kama hiki analazimisha kumchezesha Hazard forward wakati Giroud yupoooo???Hazard ni better akitokea pembeni akiwa nyuma ya forward....mtu kama Azpilicueta hawezi kupiga cross za uhakika maana hamna mtu wa uhakika wa kumalizia,Zappacosta Victor Costa wote hawawezi piga cross za uhakika maana hamna forward kati wa kufanya finish za maana....Contee Hazard sio forward na afadhali Bakayoko kala red angalau next match hatokuwepo..
 
“You're fucking shit. You're fucking shit.” - Chelsea fans chanting to Bakayoko after getting sent off.
 
Habari zitufikie.
Yaani ndani ya dakika 6
Goli 3?
Usalama wa conte upo kwa Barcelona. Akifungwa safari itamuhusu.

Bakayoko na conte watakuwa na mahusiano binafsi.
 
Kuna wadau hapa walikuwa wanasubiri tushinde waje kuwatetea Bakanyoko na Cahill,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom