Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea wana cheza pungufu kila game maaana cjaona bakayoko huwa anacheza qap
 
Huyu dogo Collum Hudson-Odoi anadeserve apewe nafasi kubwa ktk kikosi tofauti na hao akina Barkley maana anachokifanya dogo ni kitu kikubwa kuliko wachezaji tunaowasajili kama uwezekano wa kusajili haupo wasiforce kusajili wachezaji wa ajabu kikubwa tu wadeal na watoto wa Academy kama Arsenal....

Mchezaji kama huyu dogo tokea mechi na Newcastle United aliperform vzr sana na mechi ya jana kuingia tu kacheza vizuri kuliko hata hao aliowakuta tokea kipindi cha kwanza...

Majeruhi ni tatzo kubwa ktk kikosi chetu kwa muda huu tunacheza bila ya kuwa na Striker halisi uwanjan ktk mechi kunakuwa na mipira fulan hv ambayo kwa wale striker wa ukweli inakuwa goal hata katika mechi ya jana utaonaa ktk kipindi cha kwanza kuna cross aliipiga sikumbuki vzr nahisi ni Marcos Alonso ila Hazard aliruka kwa uoga kupiga kichwa na mpira ukatoka...

Conte abadili mfumo wa ufundishaji kama vp turudi kwenye back-four maana siku hz kila timu tunayokutana nao wanacheza mfumo sawasawa na wetu hivyo inakuwa ngumu sana kwetu maana mfumo wa Conte umeshafahamika hata kama analalamika kwa board kutokusikilizwa na kutokupewa nafasi ktk usajili inabidi akubaliane na hiyo hali na atumie wachezaji alonao kwa wakati huu...

Chelsea tunawachezaji wenye uwezo mzuri tu awatumie tu hao ikiwezekana hata huyo David Luiz ambae anamweka bench amrudishe tu kutokana matatizo yametokea kipindi cha pili kutokana na umakini mdogo wa mabeki ktk mfumo wa back-three ukimweka mchezaji kama Cahill awe ndyo sweeper lazima Errors uone kutokana na pale Chelsea wanaoweza kucheza kama Sweeper wapo wa3 kuna Luiz, Christensen & Ampadu hakuna mwingine sasa alivyomsogeza Cahill kati ndipo matatizo yalipotokea....

Sipo tayar kuona Conte anaondoka muda huu ila tusubiri wenye team yao watoe maamuzi maana matokeo ya jana ni aibu kubwa kwa upande wetu ukitegemea tunawachezaji wazuri kuliko wao, ktk mechi 5 zilizopita hawakuwah hata kushinda wala kutoa draw na sisi ila wamekuja kushinda 3 ktk uwanja wetu na mbele ya mashabiki wetu kiukweli ni aibu kubwa hata kama tutajipooza na matokeo ya man u ila itakuwa haina maana kwa upande wetu...
 
Chelsea wana cheza pungufu kila game maaana cjaona bakayoko huwa anacheza qap
4c469a35b371284c5721519680a16ec1.jpg
Unamlaumu bure
Huyu ni mchezaji wa timu ya rede !!!
 
Sasa ni Rasmi Chelsea imeshakabidhi kombe al PL baada ya kichapo cha jana. Chelsea imebakiza msimu uliobakia kwa kupigania yafuayo:

1. Kuwa kwenye Top Four.
2. Kushinda FA
3. Kushinda UEFA.

Kati ya hayo 3, mimi naona Chelsea itaambulia ile number 1.

Bad season for Antonio Conte!! Sijui kama atabakizwa darajani msimu ujao kwa tetesi kwamba x- kocha wa Barca anapiga hodi darajani.
 
Sio gundu toka mwanzo usajili wa chelsea upo vibaya sana watu kama wakina bakley japo mi sio timu yangu ila huyu dogo ni mzigo hana sifa ya kuchezea chelsea hazard anateseka sana
Hii ndo point kubwa, sasa mtu analaumu kocha kana kwamba yeye ndo anasajiri. Hivi mwl unapewa wanafunzi vilaza alafu wakifeli ulaumiwe?
 
Huyu dogo Collum Hudson-Odoi anadeserve apewe nafasi kubwa ktk kikosi tofauti na hao akina Barkley maana anachokifanya dogo ni kitu kikubwa kuliko wachezaji tunaowasajili kama uwezekano wa kusajili haupo wasiforce kusajili wachezaji wa ajabu kikubwa tu wadeal na watoto wa Academy kama Arsenal....

Wachezaji wadogo wana changamto zake, na changamoto kubwa ya wachezaji hawa huwa ni consistence; anaweza kuwa amecheza vizuri sana game hii lakini ukamweka game inayokuja akachemka - ni kweli kocha awape nafasi ila uangalifu mkubwa unahitajika namna ya kuwatumia hawa vijana. Arsenal Wenger alikuwa mwaminifu sana kwa vijana lia agalia kwa nini leo Mzee wa watu anaamua kuingia sokoni kununua mchezaji wa pound hadi mil 60 wakati vijana anao wengi tu.

Majeruhi ni tatzo kubwa ktk kikosi chetu kwa muda huu tunacheza bila ya kuwa na Striker halisi uwanjan ktk mechi kunakuwa na mipira fulan hv ambayo kwa wale striker wa ukweli inakuwa goal hata katika mechi ya jana utaonaa ktk kipindi cha kwanza kuna cross aliipiga sikumbuki vzr nahisi ni Marcos Alonso ila Hazard aliruka kwa uoga kupiga kichwa na mpira ukatoka...

Ni kweli Chelsea bado haijajipambanua inataka kucheza mfumo upi? ndo maana Hazard juzi kasema kama unahitaji target striker basi unatakiwa kucheza long balls imfikie kisha apambane na hao mabeki wa kati. Ingawa yeye Hazard hakuafikiana na club kutaka kununua striker mpya kwani wakimiliki mpira vizuri yeye anaweza kufunga, William ama Pedro na yeyete yule.

Kumbuka enzi za Drogba na hata Diego Costa Chelsea ilicheza mfumo huo wa tupia mbele. Sasa walipomnunua Morata wengine tukajua basi Chelsea inakwenda kubalili mfumo, lakini kwa ujio wa Girod tunaona mfumo unarudi uleule kwenye baadhi ya mechi.

Kama tumeamua kucheza mpira wa kumiliki, sidhani unahitaji target striker, mchezaji yoyote anaweza kufunga - huu ndiyo mfumo wanaotumia Barca miaka yote na City kwa sasa. Chelsea lazima ijipambanue inataka mfumo upi ili iweze kuwapata wachezaji wanaoendana na mfumo huo.

Conte abadili mfumo wa ufundishaji kama vp turudi kwenye back-four maana siku hz kila timu tunayokutana nao wanacheza mfumo sawasawa na wetu hivyo inakuwa ngumu sana kwetu maana mfumo wa Conte umeshafahamika hata kama analalamika kwa board kutokusikilizwa na kutokupewa nafasi ktk usajili inabidi akubaliane na hiyo hali na atumie wachezaji alonao kwa wakati huu...

Unaweza kuwa sahihi, lakini kumbuka tatizo la Chelsea kupoteza ni nini? Je ni mfumo? Je ni kikosi kidogo ama Chelsea haina wachezaji wa kiwango cha dunia?

Kama ni mfumo, vipi uliwawezesha kubeba ubingwa msimu uliopita? Mi nafikiri Hierarchy ya Chelsea haimpi nafasi kocha kununua wachezaji anaowataka kwa mfumo anaoufundisha. City wamempa room Gadiola, Man U wamempa room Mournho; Ndani ya Chelsea kuna msuguano; kwa mfano msimu uliopita Chelsea inamuuza Matic na kumleta Bakayoko na Drinkwanter; wachezaji hawa wawili wamekuja majeruhi - unaanza msimu na game ni nyingi mno; unamtumia Ngolo Kante karibu kila menchi unategemea nini hapo- kwa nini unamuuza Matric na repacement zake zinakuwa haziko 100% fit kwa wakati huo?

Chelsea tunawachezaji wenye uwezo mzuri tu awatumie tu hao ikiwezekana hata huyo David Luiz ambae anamweka bench amrudishe tu kutokana matatizo yametokea kipindi cha pili kutokana na umakini mdogo wa mabeki ktk mfumo wa back-three ukimweka mchezaji kama Cahill awe ndyo sweeper lazima Errors uone kutokana na pale Chelsea wanaoweza kucheza kama Sweeper wapo wa3 kuna Luiz, Christensen & Ampadu hakuna mwingine sasa alivyomsogeza Cahill kati ndipo matatizo yalipotokea....

Mchezaji bora huwa si vyenga uwanjani tu ni pamoja na nidhamu, kama hutaki kumsikiiza mwalimu na unacheza unavyotaka wewe basi huwezi kuwa mchezaji bora wa timu husika, nafikirri Luiz akubaliane na Mwalimu namna anavyotakiwa kucheza - Hakuna ubishi kwamba Luis ni mchezaji bora lakini nidhamu uwanjani ni kitu muhimu sana kwa timu.

Mi nafikiri kama Drinkwanter na Bakayoko watakuwa 100% fit basi utaona Chelsea ikicheza mchezo mzuri mno; tusitafute mchawi hawa wawili tu wakirudi form yao tatizo limeisha.
Pia kupatikana mbadala wa Alonso na Moses sababu mmoja kati yao akiwa amechoka ama yupo off form timu inakosa balance kabisa matokeo yake ni kipigo. ila kwa hapa ujio wa Barker na beki tola AS Roma utasaidia, wameliona hilo. Wait to see new Chelsea.

Sipo tayar kuona Conte anaondoka muda huu ila tusubiri wenye team yao watoe maamuzi maana matokeo ya jana ni aibu kubwa kwa upande wetu ukitegemea tunawachezaji wazuri kuliko wao, ktk mechi 5 zilizopita hawakuwah hata kushinda wala kutoa draw na sisi ila wamekuja kushinda 3 ktk uwanja wetu na mbele ya mashabiki wetu kiukweli ni aibu kubwa hata kama tutajipooza na matokeo ya man u ila itakuwa haina maana kwa upande wetu...

Ni kweli hakuna anayepenanda itokee hilo, ila kwa Mrusi ni lazima watafukuzana na tayari anamwandaa x- kocha wa Barcelona ili achukue mikoba.

Lakini narudia kusema lazima Chelsea ijipambanue inataka kucheza kandanda ipi? Kama ni ile ya kumiiki mpira na kufunga kwa mbwembwe kama walivyo City na Barca lni azima wawekeze kwa wachezaji wenye uwezo huo. hapa ndipo kwenye tatizo.

Sasa hivi tayari Chesea imeshavuliwa ubingwa - sasa sijui lawama ziende kwa nani? Uongozi wa Club; Bechi la Ufundi ama Wachezaji?

Binafsi lawama nazielekezea kwa Uongozi wa Club .

Kama ni mfumo, vipi uliwawezesha kubeba ubingwa msimu uliopita? Mi nafikiri Hierarchy ya Chelsea haimpi nafasi kocha kununua wachezaji anaowataka kwa mfumo anaoufundisha. City wamempa room Gadiola, Man U wamempa room Mournho; Ndani ya Chelsea kuna msuguano; kwa mfano msimu uliopita Chelsea inamuuza Matrix na kumleta Bakayoko na Drinkwanter; wachezaji hawa wawili wamekuja majeruhi - unaanza msimu na game ni nyingi mno; unamtumia Ngolo Kante karibu kila menchi unategemea nini hapo- kwa nini unamuuza Matric na repacement zake zinakuwa haziko 100% fit kwa wakati huo?

Chelsea tunawachezaji wenye uwezo mzuri tu awatumie tu hao ikiwezekana hata huyo David Luiz ambae anamweka bench amrudishe tu kutokana matatizo yametokea kipindi cha pili kutokana na umakini mdogo wa mabeki ktk mfumo wa back-three ukimweka mchezaji kama Cahill awe ndyo sweeper lazima Errors uone kutokana na pale Chelsea wanaoweza kucheza kama Sweeper wapo wa3 kuna Luiz, Christensen & Ampadu hakuna mwingine sasa alivyomsogeza Cahill kati ndipo matatizo yalipotokea....

Mchezaji bora huwa si vyenga uwanjani tu ni pamoja na nidhamu, kama hutaki kumsikiiza mwalimu na unacheza unavyotaka wewe basi huwezi kuwa mchezaji bora wa timu husika, nafikirri Luiz akubaliane na Mwalimu namna anavyotakiwa kucheza - Hakuna ubishi kwamba Luis ni mchezaji bora lakini nidhamu uwanjani ni kitu muhimu sana kwa timu.

Kama Drinkwanter na Bakayoko watakuwa 100% fit basi utaona Chelsea ikicheza mchezo mzuri mno; tusitafute mchawi hawa wawili tu wakirudi form yao tatizo limeisha.
Pia kupatikana mbadala wa Alonso na Moses sababu mmoja kati yao akiwa amechoka ama yupo off form timu inakosa balance kabisa matokeo yake ni kipigo. ila kwa hapa ujio wa Barker na beki tola AS Roma utasaidia, wameliona hilo. Wait to see new Chelsea.

Sipo tayar kuona Conte anaondoka muda huu ila tusubiri wenye team yao watoe maamuzi maana matokeo ya jana ni aibu kubwa kwa upande wetu ukitegemea tunawachezaji wazuri kuliko wao, ktk mechi 5 zilizopita hawakuwah hata kushinda wala kutoa draw na sisi ila wamekuja kushinda 3 ktk uwanja wetu na mbele ya mashabiki wetu kiukweli ni aibu kubwa hata kama tutajipooza na matokeo ya man u ila itakuwa haina maana kwa upande wetu...

Ni kweli hakuna anayepenanda itokee hilo, ila kwa Mrusi ni lazima watafukuzana na tayari anamwandaa x- kocha wa Barcelona ili achukue mikoba.

Lakini narudia kusema lazima Chelsea ijipambanue inataka kucheza kandanda ipi? Kama ni ile ya kumiiki mpira na kufunga kwa mbwembwe kama walivyo City na Barca lni azima wawekeze kwa wachezaji wenye uwezo huo. hapa ndipo kwenye tatizo.

Sasa hivi tayari Chesea imeshavuliwa ubigwa - sasa sijui lawama ziende kwa nani? Uongozi wa Club; Bechi la Ufundi ama Wachezaji?

Well said, nimekuelewa sana... Soccer inazungumzwa hivi
 
II TIMU GN INATUFUNGA II MAZEE CC MABINGWA WATETEZI DAAH NAUMIZWA SANA NA TIMU YANGU YAN HADI BOURNEMOUTH
 
Kwa kweli hizi tetesi za Luis Enrique kuja darajani nazikaribisha kwa mikono miwili
Kwa mara ya kwanza conte aliniuzi sana jana
 
Hahahahaa aya bhana ngoja nisubiri kuangalia lishetani(sanchez) litakavyotekeleza majukumu yake leo.
Mkuu sanchez kapotea Jana hatari alaf afya less maana c kwa kupushiwa kulee,, yule jamaa anagundu kila anakoenda ni makombeless
 
Huyu dogo Collum Hudson-Odoi anadeserve apewe nafasi kubwa ktk kikosi tofauti na hao akina Barkley maana anachokifanya dogo ni kitu kikubwa kuliko wachezaji tunaowasajili kama uwezekano wa kusajili haupo wasiforce kusajili wachezaji wa ajabu kikubwa tu wadeal na watoto wa Academy kama Arsenal....

Wachezaji wadogo wana changamto zake, na changamoto kubwa ya wachezaji hawa huwa ni consistence; anaweza kuwa amecheza vizuri sana game hii lakini ukamweka game inayokuja akachemka - ni kweli kocha awape nafasi ila uangalifu mkubwa unahitajika namna ya kuwatumia hawa vijana. Arsenal Wenger alikuwa mwaminifu sana kwa vijana lia agalia kwa nini leo Mzee wa watu anaamua kuingia sokoni kununua mchezaji wa pound hadi mil 60 wakati vijana anao wengi tu.

Majeruhi ni tatzo kubwa ktk kikosi chetu kwa muda huu tunacheza bila ya kuwa na Striker halisi uwanjan ktk mechi kunakuwa na mipira fulan hv ambayo kwa wale striker wa ukweli inakuwa goal hata katika mechi ya jana utaonaa ktk kipindi cha kwanza kuna cross aliipiga sikumbuki vzr nahisi ni Marcos Alonso ila Hazard aliruka kwa uoga kupiga kichwa na mpira ukatoka...

Ni kweli Chelsea bado haijajipambanua inataka kucheza mfumo upi? ndo maana Hazard juzi kasema kama unahitaji target striker basi unatakiwa kucheza long balls imfikie kisha apambane na hao mabeki wa kati. Ingawa yeye Hazard hakuafikiana na club kutaka kununua striker mpya kwani wakimiliki mpira vizuri yeye anaweza kufunga, William ama Pedro na yeyete yule.

Kumbuka enzi za Drogba na hata Diego Costa Chelsea ilicheza mfumo huo wa tupia mbele. Sasa walipomnunua Morata wengine tukajua basi Chelsea inakwenda kubalili mfumo, lakini kwa ujio wa Girod tunaona mfumo unarudi uleule kwenye baadhi ya mechi.

Kama tumeamua kucheza mpira wa kumiliki, sidhani unahitaji target striker, mchezaji yoyote anaweza kufunga - huu ndiyo mfumo wanaotumia Barca miaka yote na City kwa sasa. Chelsea lazima ijipambanue inataka mfumo upi ili iweze kuwapata wachezaji wanaoendana na mfumo huo.

Conte abadili mfumo wa ufundishaji kama vp turudi kwenye back-four maana siku hz kila timu tunayokutana nao wanacheza mfumo sawasawa na wetu hivyo inakuwa ngumu sana kwetu maana mfumo wa Conte umeshafahamika hata kama analalamika kwa board kutokusikilizwa na kutokupewa nafasi ktk usajili inabidi akubaliane na hiyo hali na atumie wachezaji alonao kwa wakati huu...

Unaweza kuwa sahihi, lakini kumbuka tatizo la Chelsea kupoteza ni nini? Je ni mfumo? Je ni kikosi kidogo ama Chelsea haina wachezaji wa kiwango cha dunia?

Kama ni mfumo, vipi uliwawezesha kubeba ubingwa msimu uliopita? Mi nafikiri Hierarchy ya Chelsea haimpi nafasi kocha kununua wachezaji anaowataka kwa mfumo anaoufundisha. City wamempa room Gadiola, Man U wamempa room Mournho; Ndani ya Chelsea kuna msuguano; kwa mfano msimu uliopita Chelsea inamuuza Matic na kumleta Bakayoko na Drinkwanter; wachezaji hawa wawili wamekuja majeruhi - unaanza msimu na game ni nyingi mno; unamtumia Ngolo Kante karibu kila menchi unategemea nini hapo- kwa nini unamuuza Matric na repacement zake zinakuwa haziko 100% fit kwa wakati huo?

Chelsea tunawachezaji wenye uwezo mzuri tu awatumie tu hao ikiwezekana hata huyo David Luiz ambae anamweka bench amrudishe tu kutokana matatizo yametokea kipindi cha pili kutokana na umakini mdogo wa mabeki ktk mfumo wa back-three ukimweka mchezaji kama Cahill awe ndyo sweeper lazima Errors uone kutokana na pale Chelsea wanaoweza kucheza kama Sweeper wapo wa3 kuna Luiz, Christensen & Ampadu hakuna mwingine sasa alivyomsogeza Cahill kati ndipo matatizo yalipotokea....

Mchezaji bora huwa si vyenga uwanjani tu ni pamoja na nidhamu, kama hutaki kumsikiiza mwalimu na unacheza unavyotaka wewe basi huwezi kuwa mchezaji bora wa timu husika, nafikirri Luiz akubaliane na Mwalimu namna anavyotakiwa kucheza - Hakuna ubishi kwamba Luis ni mchezaji bora lakini nidhamu uwanjani ni kitu muhimu sana kwa timu.

Mi nafikiri kama Drinkwanter na Bakayoko watakuwa 100% fit basi utaona Chelsea ikicheza mchezo mzuri mno; tusitafute mchawi hawa wawili tu wakirudi form yao tatizo limeisha.
Pia kupatikana mbadala wa Alonso na Moses sababu mmoja kati yao akiwa amechoka ama yupo off form timu inakosa balance kabisa matokeo yake ni kipigo. ila kwa hapa ujio wa Barker na beki tola AS Roma utasaidia, wameliona hilo. Wait to see new Chelsea.

Sipo tayar kuona Conte anaondoka muda huu ila tusubiri wenye team yao watoe maamuzi maana matokeo ya jana ni aibu kubwa kwa upande wetu ukitegemea tunawachezaji wazuri kuliko wao, ktk mechi 5 zilizopita hawakuwah hata kushinda wala kutoa draw na sisi ila wamekuja kushinda 3 ktk uwanja wetu na mbele ya mashabiki wetu kiukweli ni aibu kubwa hata kama tutajipooza na matokeo ya man u ila itakuwa haina maana kwa upande wetu...

Ni kweli hakuna anayepenanda itokee hilo, ila kwa Mrusi ni lazima watafukuzana na tayari anamwandaa x- kocha wa Barcelona ili achukue mikoba.

Lakini narudia kusema lazima Chelsea ijipambanue inataka kucheza kandanda ipi? Kama ni ile ya kumiiki mpira na kufunga kwa mbwembwe kama walivyo City na Barca lni azima wawekeze kwa wachezaji wenye uwezo huo. hapa ndipo kwenye tatizo.

Sasa hivi tayari Chesea imeshavuliwa ubingwa - sasa sijui lawama ziende kwa nani? Uongozi wa Club; Bechi la Ufundi ama Wachezaji?

Binafsi lawama nazielekezea kwa Uongozi wa Club .

FUSO umeongea vizur sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom