Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tuliwaambia mapemaBiashara kichaa mlioifanya ya kumuuza Outstanding striker kama Diego Costa katika Modern Football ya sasa itawagalimu.
 
d0d7e2f34e82c6bf42e90defce8977ca.jpg
 
Wazee wenzangu wa Chelsea huyu conte pamoja na kutupa ubingwa msimu uliopita ila huyu mtu huu usajili wake cjauelewa,giroud cyo mchezaji anayefit pale chelsea, hana tofauti na morata,pia zile rumors za kuwasajili crouch na Carroll ndio ckumuelewa kabisa ana malengo gani,ukizingatia usajili wa watu kama rudiger haukua mzuri kwetu at least angekuja dzeko ila msimu huu tusitegemee makubwa!cjajua tatizo la huyu kocha ina maana hakuna wachezaji wa maana?
 
Hivi kati ya batshuai na geroud nani mzuri jamani?
Awali Chelsea walikuwa na tatizo la mshambuliaji anayeishi ndani ya box. Batshuay alikuwa na Kaliba hiyo kwa mbaali japo naye mfumo ulimfanya awe anacheza zaidi nje ya box.....
Kuna michezo ya Chelsea ilimhitaji Olivia Giroud kabisa..... Yes...! Japo sio yote.

Chelsea inawatu wengi Sana nje ya box wenye uwezo mkubwa Sana wakufanya Mambo mengi kwenye mpira..... Na Kuna wakati wanamhitaji mtu mmoja tu asiye na Mambo mengi kwenye mpira mbele ya wenye Mambo mengi.

Olivia Giroud Ni mfalme wa dakika za majeruhi, Olivia Giroud Ni mtaalamu wa magoli yasiyozaniwa, Olivia Giroud Ni mhanga pia wakutumia vyema nafasi anazozipata...... Katika nafasi tatu au nne basi nafasi moja anaiweka kwenye nyavu.

Ujio wa Olivia Giroud unanifanya niwaze zile Kross za Alonso na Moses ndani ya box..... Okay...! Akitumika uzuri katika rotation na Morata Basi Kuna ufanisi utabainika baina Yao..... Olivia Giroud kichwa chake Ndio silaha yake ya kwanza, mwili wake Ndio silaha yake ya pili..... Ukashindwa kumkaba Basi utamkuta kwenye kibendera.
 
48BE834200000578-5331705-image-a-30_1517350701696.jpg


Emerson Palmieri..

48BE850200000578-5331705-image-a-32_1517350728609.jpg


48BE859900000578-5331705-image-a-34_1517350893474.jpg
Kwa wanaomfahamu huyu bwana Kaka nadhani watakuwa wanajua Chelsea wamepata Nini..... Huyu Ni versatile player(kiraka). Ceser Azzipcueta ni aina ya uchezaji wa Emerson.... Natural Ni mhudumu wa upande wa kushoto. Upande ambao Ndio upande wenye hatari na ubora zaidi kwa Chelsea..... Yupo Marcos Alonso upande ule ila pia yupo Eden Hazard mbele ya Alonso.

Kizuri zaidi kwa Emerson ni Kaliba ya uchezaji wake..... Anaweza kutumika kutokana na partten ya Conte.... Anaweza kutumika kutokana na mahitaji ya timu.... Anaweza kutumika kutokana na eneo linalomhitaji. Mguu wake Ni silaha kubwa Sana Katika kutengeneza nafasi za magoli.

Kumuona upande wa kushoto ni Kama Alonso ataamua mwenyewe eidha iwe majeruhi au suspension(kadi)...... Nje ya hapo Ni ngumu kujaribu kuishi nyuma ya ubora wa Alonso ambaye kila Leo amekuwa mwiba na msaada upande ule...... Karibu darajani
 
Conte ndezi tu yule kocha....Alimfanyia visa Costa mnyama aliyekuwa kila kitu leo hii anatuletea Jirudi
 
Atakipata anachokitafuta muda si mrefu.
Giroud nilivo simpendi na ubutu wake eti ndio usajili.
Fala kweli huyu jamaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom