Hodi hodi wenyewe mpooooo? Nasikia kuna Matanga mengine mmeanzisha vipi? Je, mlibebwa leo nasikia mlifunga goli la matuta? Khe khe khe kheeeeeeeee Je mmepata nafasi ya nne?
Duuh! We're still performing so badly, something need to be done soon....but not sacking Carlo, I still believe in him.
KTBFFH
Watani hahahahaah nawaona mumeshikilia zile sehemu hahahahaah
Bring back Ray Wilkins or Gianfranco Zola, huyo mnaijeria ni mganga wa KienyejiDuuh! We're still performing so badly, something need to be done soon....but not sacking Carlo, I still believe in him.
KTBFFH
Walifanya la maana kufanya zengwe game dhidi ya Man U ikahairishwaHakuna kitu kitu kibaya kama timu kupata matokeo mabovu kila mechi kwa mfululizo bila kujua tatizo nini.ngoma yenu ngumu sana naona kila timu sasa itakuwa inaomba kucheza na nyie wakati huu.
Bring back Ray Wilkins or Gianfranco Zola, huyo mnaijeria ni mganga wa Kienyeji
Hivi nyie Wachungaji (KISHOKA & MASANILO) mmeshindwa kuongoza sala kuepusha hili balaa
Aliyewaambukiza malaria wachezaji wenzake huyu hapa ..... ...... ...... loser ..... ..
Khe khe kheeeeeeeeeeeee
Hakuna kitu kitu kibaya kama timu kupata matokeo mabovu kila mechi kwa mfululizo bila kujua tatizo nini.ngoma yenu ngumu sana naona kila timu sasa itakuwa inaomba kucheza na nyie wakati huu.
Wakuu wote wa Chelsick tulifikiri mmemaliza matanga.
Je, huu ni mwanzo na mwisho wa kelele zenu? Manager No. 9 ooops 8 anatinga lini?
Walifanya la maana kufanya zengwe game dhidi ya Man U ikahairishwa