Poleni wakuu labda mtaambulia hata kapoint kamoja. Dakika ndiyo zinazidi kuyoyoma. Matokeo yakibaki hivi si ajabu kibarua cha mtu kikaota majani kabla ya wiki kwisha.
...ha ha haaha, kwakweli wanastahili pole na sasa wamesawazisha.
HAhahahahaahah Hapi niu yia mkuu! mwaka huuu mmmmhhhhh
Watani hahahahaah nawaona mumeshikilia zile sehemu hahahahaah
Mbu aligusia hii kitu; there something fishy going on in Stamford Brigde.......so, huenda Mbu alikuwa right.
What is This?????????????????????
...ha ha ha, Manda hawa jamaa Drogba huenda kawaambukiza Malaria.
CHELSEA...
Matoeka kama haya hayakubaliki kabisa hayaendani na value ya wachezaji wa chelsea .
siju chelsea fan wanasemaje.
Maaana pay slip ya wiki ya wachezaji watatu wa chelsea inalipa 1st 11 wote wa Aston Villa
teh teh
Dirisha dogo la usajili limeshafunguliwa.Uzeni vikongwe mnunue chipukiziDuuh! We're still performing so badly, something need to be done soon....but not sacking Carlo, I still believe in him.
KTBFFH
Hodi hodi wenyewe mpooooo? Nasikia kuna Matanga mengine mmeanzisha vipi? Je, mlibebwa leo nasikia mlifunga goli la matuta? Khe khe khe kheeeeeeeee Je mmepata nafasi ya nne?