Sawa kwhyo ww unagombania nafas ya 5 kila mwaka na ww mwnyw muumin wa mfumo huo wa kugombea nafas ya 4 kila mwka huna lengo la kchkua ubingwa afadhali hat wenger kachkua 2004 we mwka gan umechkua na mpango yakoEti Nipo Nafasi Ya Ngapi??
Kumbe wewe umekuwa Muumini Wa Wenger Kakuridhisha Kugombania Top Four badala ya Ubingwa?
Mimi Siwezi Kujibu swali kama hilo Coz Kwangu Mimi Ukiacha Nafasi Hile Ya Kwanza Ya Ubingwa! Zilizobakia Zote Ni Nothing and meaningless!!!!
Mimi Kocha Yeyote Anaegombania Top 4 Basi Ni Mpumbavu! Kocha Ni Yule Anaefocus Ubingwa na Si Top Four.
Mkata viuno hchoki tuDAAH MAZEE UEFA WANAZINGUA SANA WANATUPANGAJE NA BACA AU AWAPENDI KUONA TUKIWEPO UEFA DAAAAH THIS IS NOT FEA
Utalazwa wwLeo Munalazwa nyie! Trust me.
Messi siku hiyo atajuta
Itapendeza zaidi tukimgongaTuna mpiga nje ndani yule...
goli hakufunga Bakayoko, alipewa tu kwa sababu Huddersfield walijifunga wenyewe. magoli kama hilo la Willian ndio yaliyosoma mpaka chuo kikuu
Luiz na Christensen wakichez pamoja itabidi tuchezeshe mabeki 4 nyuma so hapo Cahili anakuwa haepukiki kucheza. Ila kiukweli simwamini Luiz katika mechi kubwa. Ana makosa Fulani yanacost timuBakayoko ni bonge la mchezaji kama ilivyo kunywa maji
Mi siku hiyo naomba amrudishe luiz, Christiansen na aspiliqueta
Cahili out au
Huyo drinkwater aliingia jana lakini sijaona alichokifanyaLuiz akirudi basi acheze kati.
Beki wawe: Azpilicueta, Christensen, Cahill.
Kati: Kante, Drinkwater, Luiz
Wings: Alonso/Zappacosta na Moses
Forward: Hazard na Wilian/Pedro.
Aliingia kumpokea Kante na defensively alicheza vtema. Game ilikuwa imeisha so alichokuwa anafanya n kuhakikisha mpira unabaki kwetu tuHuyo drinkwater aliingia jana lakini sijaona alichokifanya
Kwangu mimi bakayoko ndio the best kuliko drinkwater
Personally sijashangilia na wala sijawahi kusema conte out.Jana Mumepata Kibonde Basi Mumesahau Kuwa Last Match Mulimtukana Conte na Wachezaji Wake....
Hile [HASHTAG]#ConteOut[/HASHTAG] mbona siioni Tena?
Nakubaliana nawe kote isipokuwa kwa Morata.Hii kwangu ndo timu ya kucheza na barca except adjustments kidogo kuaccomodate mahitaji ya timu hasa ukizingatia unahitajika uzoefu pia. Hapa itabidi Morata arudi kati, Hazard arudi alipokuwa Pedro, then Cahili acheze alipokuwa Rudigar. Luiz anaweza akaanza kati ila aangaliwe sana kuhusu makosa yake maana forward za Barca zinaweza kumlazimisha afanye makosa ambayo hakutegemea. Otherwise for trial Christensen a aweza kufaa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] vichenga vya kijinga hivyo eti messi ajuteMessi siku hiyo atajuta
Inashangaza sana leo morata kwako sio mchezajiNakubaliana nawe kote isipokuwa kwa Morata.