Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,940
NOVEMBER imeisha...
- Wakati mwezi huu unaanza, tulikuwa nafasi ya nne na point 8 nyuma ya vinara Manchester City
- Mwezi unaisha, tumeshinda mechi zote za ligi isipokuwa draw moja dhidi ya Liverpool
- Tupo nafasi ya 3 na point 11 nyuma ya vinara Manchester City.