Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,978
- Thread starter
- #44,941
Nadhani lengo la Klopp ni kuwachosha wachezaji wa Chlesea kwanza kidogo ndipo aingize majembe.Leo ata liver kapanga kikosi kwa woga. Majembe mengine kaweka benchi wakati Conte ktk upande wa kiungo ameimarisha vibaya sn kwa kumuweka Danny
Sasa kabla hajaingiza majembe yake anatakiwa awe ameloa hata tatu mapema sana

