Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Game ya leo kwa nionavyo mimi, Conte ameshaamini combo ya Fabregas na Morata na Hazard ni nzuri hivyo hao wote wanaanza.

Kwenye wing-backs sidhani kama Moses ataanza (tena ukizingatia mechi hii ngumu na ametoka majeruhi). Na hata akianza sidhani kama atamaliza Conte hana tabia ya kumchezesha mchezaji aliyetoka majeruhi dakika zote 90 kwa mechi ya kwanza.
 
Moses yuko fiti iwe kwa game yoyote.

Kumbuka pia alimchezesha Kante dhidi ya Utd akiwa katoka moja kwa moja ktk majeruhi.

So kwa umuhimu wa Moese na performance ndogo ya Zappacosta alieshindwa kumpiku Moese km Christensen kwa Luiz, Leo Conte lazima amtupie Moese.

Rudiger ameshindwa pia kumfunika Cahill sema mpk sasa Conte anawaza juu ya wawili hawa kwasbbu mmoja ana pace lkn sio physical sn na mwingine yuko physical sn tena ni fighter lkn hana pace ya kushindana na kina Salah, Mane etc
 
Lkn kutokana na kupumzishwa ktk Champions League kwa Cahill basi Leo lazima awe featured ktk XI.
 
Moses yuko fiti iwe kwa game yoyote.

Kumbuka pia alimchezesha Kante dhidi ya Utd akiwa katoka moja kwa moja ktk majeruhi.

So kwa umuhimu wa Moese na performance ndogo ya Zappacosta alieshindwa kumpiku Moese km Christensen kwa Luiz, Leo Conte lazima amtupie Moese.

Rudiger ameshindwa pia kumfunika Cahill sema mpk sasa Conte anawaza juu ya wawili hawa kwasbbu mmoja ana pace lkn sio physical sn na mwingine yuko physical sn tena ni fighter lkn hana pace ya kushindana na kina Salah, Mane etc
Kutokuwepo kwa Kante kuna pengo kubwa sana ila pia kumbuka Kante alipona hata kabla ya game ya Manchester alikuwa na uwezo wa kucheza game ya kabla ya Manchester [Roma walioshinda 3], Conte alisema haya kwenye press kabla ya game kule Roma. Ila hata sub siku hiyo hakuwepo.

Ila pia usemavyo ni sawa kabisa Moses yawezekana akacheza leo japo nafasi kubwa ni atakuwa bench naona.

Ona maneno ya Conte "His condition is good. For sure he needs a bit of time to recover the best form. Tomorrow he is in our squad. I think I want to put him on the bench, and then to decide if there is the necessity to put him on or not."
 
Liverpool vs Chelsea .
Katika mechi 50 za Premier League zilizopita, Liverpool wameshinda mechi 19 na Chelsea wameshinda 19, sare ni 12.
.
Katika mechi 5 zilizopita katika uwanja wa Anfield, Chelsea wameshinda 2 na sare 3.
 
Kutokuwepo kwa Kante kuna pengo kubwa sana ila pia kumbuka Kante alipona hata kabla ya game ya Manchester alikuwa na uwezo wa kucheza game ya kabla ya Manchester [Roma walioshinda 3], Conte alisema haya kwenye press kabla ya game kule Roma. Ila hata sub siku hiyo hakuwepo.

Ila pia usemavyo ni sawa kabisa Moses yawezekana akacheza leo japo nafasi kubwa ni atakuwa bench naona.

Ona maneno ya Conte "His condition is good. For sure he needs a bit of time to recover the best form. Tomorrow he is in our squad. I think I want to put him on the bench, and then to decide if there is the necessity to put him on or not."
Sahihi mkuu lkn ukiangalia hali ya Afya ya Moese alikua fiti na tayari kwa mchezo wowote tangu siku 14 zilizopita sema Conte hakutaka tu kumtumia.

Game yetu na WBA alikua tayari na ya Champions League alikua tayari ila Conte hakutaka kumjumlisha ktk kikosi chake.

Na pia Conte kumuacha ktk safari ndefu ya Arjazeiban alimuacha tu ili kukabiliana na Liverpool vzr.

Conte na yeye si mkweli sn ktk media so anakubali kua Moese atakua ktk squad lkn hatocheza hii ni chenga anapiga.
 
416e8a4ce225eaf0f19836cab53f8521.jpg
Always special, [HASHTAG]#Anfield[/HASHTAG] ... [HASHTAG]#LIVCHE[/HASHTAG] Today ️ @stevengerrard Chelseafc
 
Oiii najeee fans ..leo ushindi ni muhimu sana ..uhakika liver hawachomoki. Tunashinda tatu bilaa
 
Naamini Fabregas ataanza.

Hofu yangu ni Azpilicueta anaweza kuchezeshwa right wing halafu defence iwe Rudiger + Christensen + Cahill.
akimpeleka huko aspi ujue tunafungwa
amwache kule nyuma kwa sababu hakuna sanmbabu ya kumpeleka huko
 
7609773f1ee2b3688a130e90b248d7a8.jpg
20f291a8f560b9a902610c36ac6c6b68.jpg

hii beki huku nyuma ipangwe hivi hivi leo ni siku ya kuwapima kama wako fiti au ni nguvu ya soda
 
Chelsea team: Courtois; Azpilicueta, Christensen, Cahill (c); Zappacosta, Drinkwater, Kante, Bakayoko, Alonso; Hazard, Morata.

342d39e6a105af4e3132119fefa8a99a.jpg

Chelsea substitutes: Caballero, David Luiz, Rudiger, Moses, Fabregas, Willian, Pedro.
 
Leo ata liver kapanga kikosi kwa woga. Majembe mengine kaweka benchi wakati Conte ktk upande wa kiungo ameimarisha vibaya sn kwa kumuweka Danny
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom