Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

So far ilipaswa Watford awe na magoli 4,wamekosa magoli ya kizembe sana
 
Daah mazee mbna tunapigwaa hiv. .au kuna mgomo nin..
Siku pale nyuma conte aliichezesha hivi
Aspi,luiz,rudiger
Au aspi,rudiger,christiensen
Hapo wasi wasi utakuwa umekwisha

Wakati huu kante akiwa majeruhi luiz angemsaidia vizuri sana bakayoko lakini conte halioni hilo badala yake amempeleka aspi katikati

Tutatungwa kwa uzembe wa conte tu
 
Naona sasa mtaacha ule msemo wenu fulani kashinda vs timu ndogo, sisi tumecheza na timu kubwa......timu ndogo nazo shiiida!
 
Azpilicueta - Christensen - Luiz.
 
Mkuuuu mwache CONTE qama alivyoooo..... anajuaa bhanaa
 
Nafikiri zappa aliongeza kitu
Kitendo cha kumtoa alonso na kumwingiza wilian kiliongeza kitu pia na team kuanzia hapa ilibadilika kabisa
Alonso anaturostisha wakati mwingine
 
Mkuuuu mwache CONTE qama alivyoooo..... anajuaa bhanaa
Usiseme hivyo kwa sababu tumeshinda vipi kama tusingefunga hayo magoli tumeshafungwa kisa beki na kiungo
Angalao mambo yalibadilika baada ya zapp na wilian kuingia kuchukua nafasi za alonso na mwenzake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…