Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwa maoni yangu mimi kule nyuma ingekuwa hivi
Rudiger, christiensen, aspiliqueta

Then alonso,luiz,bakayoko,moses

Halafu mbele namaliza na
Hazard, batshuay,pedro

Hapa tutakuwa salama mengine tumuachie conte ila mimi ningepanga hivyo kikosi changu
Back line haiko makini hasa huyu cahil
cahill kakosea kitu gani leo? au ndo ashakuwa na damu ya kunguni
 
Wana Chelsea Wala tusiwe na Presha ya league mwaka huu, tujipange Mwakani, maana hata zile timu mbovu ndio zinapata pakutokea darajani?

Mwakani wa kuu
unakata tamaa ndani ya mechi nane???
kuna mechi 30 zimebaki hata nusu ya mzunguko wa kwanza bado.
 
Chelsea alipoteza mechi tano katika Ligi msimu uliopita:
vs Liverpool Home(2-1)
vs Arsenal Away(3-0)
vs Man Utd Away(2-0)
vs Tottenham Away(2-0)
vs Crystal Palace Home(2-1)
Msimu huu Chelsea ameshapoteza mechi tatu hadi sasa:
vs Burnley Home(3-2)
vs Man City Home(1-0)
vs Crystal Palace away (2-1)
Huwezi kusema Chelsea siyo title Contenders ndani ya mechi nane kwasababu kuna mechi 30 zimebaki maana yake kuna points 90 wanaweza kuzigombania inaelekea wewe si mtu wa mpira ni mshabiki ambae timu ikishinda unasifia hadi kuvuka mipaka na timu ikifungwa unakandia kuvuka mipaka.
 
AF ww kumbe akili huna ee
Angalia gutimu gunafanya nn yani hakuna k2
 
My team the BLUES, j washabiki wa Chelsea tumeumia MNO, mechi ya pili mfululizo kufungwa, William, hazard na batswayi wamecheza chini ya kiwango MNO. Kwa mpira huu, tukikutana na man u, Liverpool, spurs, man city tutalula nyingi sana, ni lazima wachezaji wajitume sana
 
***** zeny nyie...mlikuja kuchafua uzi wetu kule OT kumbe nyie ndo mmekun.ya kabisa...mlileta mainzi tu kule...
 
Ondoka Costa baki Batshuayi
Ondoka Matic lete Bakayoko/Drinkwater!!
Kuna makocha wana ego za ajabu sana na wandhani ni mbinu zao zinafanya team ishinde wala sio wachezaji
Conte anafukuzwa hata Dec haifiki,kocha wenu mwehu!
Ahahahaha ahahaha
 
unakata tamaa ndani ya mechi nane???
kuna mechi 30 zimebaki hata nusu ya mzunguko wa kwanza bado.
Tunaangalia na timu yetu ilivyo, kufungwa sio tatizo kabisa, lakini hatuna timu ya upambanaji
 
Kumbe nyie ni wateja wa Crystal Palace🙂
 
Ondoka Costa baki Batshuayi
Ondoka Matic lete Bakayoko/Drinkwater!!
Kuna makocha wana ego za ajabu sana na wandhani ni mbinu zao zinafanya team ishinde wala sio wachezaji
Conte anafukuzwa hata Dec haifiki,kocha wenu mwehu!
Ahahahaha ahahaha
Kwani mkuu, kocha aliridhia kuondoka kwa Matic? Si alishangaa kauzwa tu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…