eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,355
- 16,401
Kabisa kwenye haya mashindano msimu huu zidane na real madridi yake ndio tishioHalina ubishi mkuu na ukizingatia ronaldo na benzema umr umeenda
Hongereni kwa ushindi wa jana sasa tushirikiane kumbana zizou yule peke yake anaonekana mtu mtu hatar ktk mashindano haya.
Tatizo huwa hajulikani anaamka vipiYarudie tena maneno haya
Auzwe basi
Haya yote ni kwasababu hataki kupitwa na mshambuliaji
Conte alishaona cahil na luiz wanaelekea mwisho kawatafuta vijana mapema msimu ujao wakina rudiger wataingia vizur ktk timu hata kwa sasa wanacheza vizur sana wakina rudiger sema huwez kufika ukawakuta wakongwe na kuanza yako watakimbia wenyewe tu wazeeTatizo huwa hajulikani anaamka vipi
Kuna siku utampenda kama jana
Hongera kwa kulitambua hilo....!!!!!Mkuu ma striker huwa hawapondwi hata siku moja muda wowote wanakuacha uchi mm ktk makuz yangu na kuujua mpira huwa simpondi mshambuliaji mana kuna kipindi wanapoteza fom wakiipata huwa ni shida
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kumbe jana tumeshinda
mi nimeacha mechi dakika ya 91
Tulikuwa bora sana Mkuu,Wadau vp mechi ya jana mmeionaje? Tumepiga mpira mwingi sana
Huyu jamaa siku zinavyo zidi ndio nazidi kumuelewaMsimsahau fundi Bakayoko kwa pasi yake
Conte ni hatabirikiTulikuwa bora sana Mkuu,
Nategemea mechi ya weekend tutaanza na kikosi hiki.
Kuwa na kasi sio tatizo Mkuu, nazani kikosi tulicho cheza na Atletico ndicho kimfaacho Man city j.mosiConte ni hatabiriki
Kwa mfano jana sikumwaza kabisa fabrigas
Halafu ni match tofauti
Man city wanafunguka na wana kasi kuliko a. Madrid
Muwe mnaweka akiba ya maneno, kuna kesho pia.Cheki watu wanavyojitoaga ufahamu......!!!!
Kama wew ni haters wa chelsea bora ukae kimya kuliko kujitoa ufahamu kama kina malafyale ambao mwisho wa siku wanabaki kunamisha vichwa chini kama makondooo wanaopelekwa Kunywa maji mto wa mguu.
Rest in peace yourselfRest in peace blue