Guyz jana nimeangalia game yetu late coz nilikua naangalia ya Barca vs Juve live. Generally timu yetu iko poa, Conte angempa nafasi ya kutosha Musonda hata the whole 2nd half ningefurahi zaidi.
Zappacosta kaperform sana, namba ya Moses iko mashakani which is a good thing kwa sababu tutashuhudia creativity zaidi kwenye nafasi yao.
But guys huwezi kumchukulia poa Alex Sandro kwa sababu ya zappa, firstly Sandro ni Left wingback Zappa naturally ni wa kulia.
Pili Sandro kaperfom vizuri sana Last 2 seasons, sana . Actually slightly kuliko zappacosta, but maybe msimu huu zappa will be better, i hope so. Najua kuna watu watabisha kwa kutumia reference ya game ya Barca ya jana.
Mimi nadhani tungewapata wote wawili (Sandro na Zappa) tungekua vizuri zaidi msimu huu. kwa sababu moja
Formation ya 3 backline inategemea SANA sana perfomance ya hawa wingbacks, hawa ndo wanaoleta balance kwenye hii formation. juve last season walikua na defense nzuri but Sandro na Alves walikua ndo injini yao, attacks zao nyingi zilikua zinaanzia au kupitia pembeni
Sandro anamzidi Alonso defensively, Pace na somehow Quality ya Cross.
hapa kwenye low quality Cross ndo patamponza Moses Msimu huu. Moses ni mzuri one on one na take ons(labda kwa sababu ni winger kwa asili) lakini Krosi au Pass ya mwisho anayokuja kukupigia ni kama amechoka
All in all am glad we didn't sign Chamberlain