Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

39a301645eff9261aa82c00129f4d98c.jpg

Willian akiwa anafanya mambo yake, huwa hatakagi utani
Hapendagiiii ujingaaa
 
wadau kwa tulioona mech nadhan uyu zappacosta ni zaid ya danilo sliekataa kusain nadhan ata moses sasa atakaza kwa7bu uyu muitaly ni mashine ana kila ki2 dribbling nyc kros anajua kuatack yan n bonge la full back

Sent from my Iphone7 Using Jamiiforum mobile app
 
Mungu anamuona yaani anataka kumweka benchi kabisa Moses
Kapokea pass ya golikipa tu kateleleza nayo mbonge wa bao hatari
.sasa tunamsubiri arsenal
Duuùuùuuh ...... Pace alizofanya upande wa kulia mwa uwanja huyu Zappacosta jana kiukweli zimemlaza na mawazo sana Victor Moses usiku sio utanii... Achana na ile pace, namna alivyowakimbiza wale mabeki mpaka wakahisi wanakimbizwa na mtu asiyejulikana,kwangu mimi lile goli ndio kitu cha kuzungumzia zaidi kuliko goli 6 kwa FK Qarabag.
What a goal....!

Hii ndio njia sahihi ya kujitambulisha........

Arsenal naona wataanza visingizioo
 
Yani alipofunga nimemuoneaje huruma V. Moses!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Zappacosta kabla hajaja Chelsea nilikuwa simjui kabisa, nilivyosikia dau limekibaliwa kumchukua ikabidi fasta niende Youtube kumuangalia.

Alichokifanya jana (ukiachana na kufunga) ndicho nilichokiona anafanya kwenye mechi kadhaa. Jamaa ana kasi ya anakimbia, anajua kukaba, halafu anajua kutumbukiza cross sana.

Kwenye msimu wa mwaka jana Italy akuwa na cross 47 zilizolenga target, alikuwa nafasi ya pili nyuma ya Alex Sandro aliyekuwa nazo 48
 
wadau kwa tulioona mech nadhan uyu zappacosta ni zaid ya danilo sliekataa kusain nadhan ata moses sasa atakaza kwa7bu uyu muitaly ni mashine ana kila ki2 dribbling nyc kros anajua kuatack yan n bonge la full back

Sent from my Iphone7 Using Jamiiforum mobile app
Nilisema mapema drinkwater na zappacosta ni mashine niliwatazama sana huko walikokuwa kabla hawajaja chelsea
 
Hiyo ilikua test mitambo tu. Ijayo ndio game yenyewe nadhani hata Conte atakua na kikosi kinachoeleweka.

Zapacosta anadhihirisha kweli katokea Italy

Batshuayi kajitahidi

Pedro, Hazard, Bakayoko na Willian ni moto.
..... Next game Arsenal afe
Batshuay bado sana muda mwingi alikuwa hajui afanye nini team isiyojulikana kama ile bado inamsumbua
Conte alimpa nafasi ili kumwaandaa morata na arsenal
Halafu inabidi awe anapiga nje ya 18
 
Duuùuùuuh ...... Pace alizofanya upande wa kulia mwa uwanja huyu Zappacosta jana kiukweli zimemlaza na mawazo sana Victor Moses usiku sio utanii... Achana na ile pace, namna alivyowakimbiza wale mabeki mpaka wakahisi wanakimbizwa na mtu asiyejulikana,kwangu mimi lile goli ndio kitu cha kuzungumzia zaidi kuliko goli 6 kwa FK Qarabag.
What a goal....!

Hii ndio njia sahihi ya kujitambulisha........

Arsenal naona wataanza visingizioo
Kabisa lee empire alikuwa vizuri sana unaweza kudhani ana mwaka mmoja kumbe kaja juzi tu
Alikaba,alipandisha team,alipiga chenga, na ni mfungaji mzuri sana Moses ajiangalie sana mbele ya huyu jamaa
Conte ninavyomjua ukimuudhi match moja tu na team ikafungwa anakusahau kabisa
 
Zappacosta kabla hajaja Chelsea nilikuwa simjui kabisa, nilivyosikia dau limekibaliwa kumchukua ikabidi fasta niende Youtube kumuangalia.

Alichokifanya jana (ukiachana na kufunga) ndicho nilichokiona anafanya kwenye mechi kadhaa. Jamaa ana kasi ya anakimbia, anajua kukaba, halafu anajua kutumbukiza cross sana.

Kwenye msimu wa mwaka jana Italy akuwa na cross 47 zilizolenga target, alikuwa nafasi ya pili nyuma ya Alex Sandro aliyekuwa nazo 48
Hapa hata sandro sio kitu tena zappacosta atosha
Macross ya uhakika hili ni balaa kubwa kwa Moses limeingia darajani
 
wadau kwa tulioona mech nadhan uyu zappacosta ni zaid ya danilo sliekataa kusain nadhan ata moses sasa atakaza kwa7bu uyu muitaly ni mashine ana kila ki2 dribbling nyc kros anajua kuatack yan n bonge la full back

Sent from my Iphone7 Using Jamiiforum mobile app
Jana nilivyomwona nikasema kimoyo moyo inamaana Sadro alikuwa mzuri kuliko Zappacosta? Conte huwa akosei kusajili aiseee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani alipofunga nimemuoneaje huruma V. Moses!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mentor. Conte hakoseagi kusajili. Naamini Moses jana hajapata usingizi baada ya kumwangalia zapacosta. Ninachofurahi wachezaji wetu wana cheza kwa nidhamu na kila mmoja anaeingia uwanjani anajitoa mwanga kupigania timu yake. Rahaa sana kuwa na wachezaji kama kina Bakayoko Rudiger, Luis, Alonso, Kante, Hazard, Pedro, zappacosta, Courtois, Kunywa maji Azipilicueta, Cahill, Morata, Moses na wengine wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom