Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tukutane tena Jumanne..

Hawa Qarabag hata sijawahi kuwasikia kabla...ngoja nizame youtube!!!
 
Naona striker wao ni Msauzi mmoja, Ndhlovu!

Otherwise sioni tatizo lolote kwao labda waje kupaki bus tu!!!
 
adhabu imeisha mechi ya jana
9db316018f3effd844294cf6e7cbf9da.jpg


Nadhani umeelewa nachokisema... Muangalie Cahill apo,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nategemea kikosi kingne cha uefa maana mlichokiona ni cha lig chelsea ya

Sent from my Iphone7 Using Jamiiforum mobile app
 
Hamna namna lzm Costa apigiwe magoti arudi
Morata hawezi kukupa hata CL football

Hakuna mshabiki wa soka wa humu JF ninayemuonea huruma kama huyu jamaa Malafyale , kaka pumzika haya mambo ya soka, timu yako soon itakupa ugonjwa wa moyo, ulivyocheza na Arsenal ukajitapa kuwa sasa mmekamilika na mpo tayari kwa mashindano, lakini ile Jumamosi ya kuchapwa Tano ni balaa kubwa

Anyway naona mna league yenu na Arsenal pambaneni tu
 
9db316018f3effd844294cf6e7cbf9da.jpg


Nadhani umeelewa nachokisema... Muangalie Cahill apo,

Sent using Jamii Forums mobile app
9db316018f3effd844294cf6e7cbf9da.jpg


Nadhani umeelewa nachokisema... Muangalie Cahill apo,

Sent using Jamii Forums mobile app
Gary Cahill siyo majeruhi alipata kadi nyekundu ya moja kwa moja katika mechi ya kwanza dhidi ya Burnley hivyo adhabu yake ni kukosa mechi tatu ambazo ni Tottenham,Everton na Leicester hakuna mchezaji yoyote mwenye injury kwa sasa kwa maelezo ya Conte katika press conference ijumaa
 
Fans mambo vip
...mwenendo wa clab mnauonaje?
Wap kuna tatizo mpk sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
bado mapema sana kuzungumzia japo kwa sasa timu ipo vizuri na imekamilika lakini kwa maono yangu pale kwa morata kutakuwa na pengo kubwa endapo atapata majeruhi au atafungiwa kwasababu Michy Batshuayi siyo level za kuwa mshambuliaji chaguo la pili kwa klabu kubwa kama Chelsea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom