Aende huko china
USIYEMPENDA KARUDI.
Costa kumalizana na Chelsea & Kurudi kwenye first team haraka iwezekanavyo.
Costa has come to terms with the fact that he does not have a legal case with his current employers, and recognises that he may have no choice but to return to the club and attempt to make peace with Antonio Conte.
Maneno yenye nguvu kubwaManeno ya Shukrani ya DrinkWater kwa Washabiki wake.
Kupata mafanikio tuliyoyapata na Leicester city iikuwa ni maajabu, itakuwa kumbukumbu yangu ya milele. Haikuwa rahisi kwangu. Kulikuwa na changamoto nyingi mno kufikia mafanikio hayo, lakini watu wa karibu yangu walinisaidia na hili sintalisahau kamwe.
Ilikuwa uamuzi mgumu sana kwangu kuondoka, lakini binafsi niliona ni wakati muafaka kwangu kufanya hivyo. Ukishapata mafanikio makubwa kama tuliyoyafikia pamoja na wenzangu, inaleta chachu – unahitaji kuyapata mafanikio kama hayo sehemu nyingine pia na hii niliona ndiyo fursa pekee kwangu kutimiza ndoto hiyo.
Huwezi kujua fursa huja mara ngapi maishani kwako, kwangu mimi niliona hii ni fursa pekee na ilikuwa vigumu kuiacha ipite.
(Maneno haya yamenigusa sana - karibu darajani Jembe jipya) -
Its now chance to see our dream combination with N'Golo Kante.
Kwa chelsea na match kubwa sina wasiwasiNdio maana conte alikuwa anakomalia usajili ufanyike kumbe tuna shughuli!!!!!
Conte anawajua wachezaji wazuriEe Kashakua mchezaji mkubwa tangu juzi, soon atakua starter kabisa
Siku Ukisikia wanamgombania ujue kaiva ila kwa sasa aendelee kupambanaAah ni hatar sana maana uko B.Munchenglanbach anawabeba sanaa...,,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Yote kwa yote dogo ni hatari tumpe mwaka 1Kylian hajasajiliwa Chelsea kwa sababu ya uwezo alio nao, kasajiliwa kwa sababu Eden kamuombea kwa kocha na Chelsea tunafight kumkeep Eden.
Eden is a family man, kumleta mdogo wake London means so much to him, we have a delived demand kwa kylian, lengo ni kumkeep Eden
Mbona Diego hayumo tena!?Diego Costa licha ya kujumuishwa kwenye kikosi cha ligi kuu Uingereza, hajajumuishwa kwenye Michuano ya Mabingwa Ulaya
Etiii eeeh? Kweli inabidi apigiwe km nyie mlivyompgia Countinho ......... bora nyie Chambarlin atawapa CL troph.Hamna namna lzm Costa apigiwe magoti arudi
Morata hawezi kukupa hata CL football
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Etiii eeeh? Kweli inabidi apigiwe km nyie mlivyompgia Countinho ......... bora nyie Chambarlin atawapa CL troph.
Costa hata hakirudi first 11 hawezi kuanza. Mkuu kumbe hupo aiseee.Hamna namna lzm Costa apigiwe magoti arudi
Morata hawezi kukupa hata CL football
eti liver anakamia timu kubwa upuuzi mtupu kwanini hizo timu kubwa nazo zikikutana na liver wasikamie?Ki ukweli Hajambahatisha Arsenal isipokuwa Liver ni timu inayokamia timu kubwa tu, lakini akikutana na timu ndogo anakuwa tete tu
Wewe kikosi chako ni finyu sana..eti liver anakamia timu kubwa upuuzi mtupu kwanini hizo timu kubwa nazo zikikutana na liver wasikamie?
Ila.hicho.kikosi finyu.ndo huwa kinakukamia.eehWewe kikosi chako ni finyu sana..
Ngoja upate majeruhi ndo utanielewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maneno ya Shukrani ya DrinkWater kwa Washabiki wake.
Kupata mafanikio tuliyoyapata na Leicester city iikuwa ni maajabu, itakuwa kumbukumbu yangu ya milele. Haikuwa rahisi kwangu. Kulikuwa na changamoto nyingi mno kufikia mafanikio hayo, lakini watu wa karibu yangu walinisaidia na hili sintalisahau kamwe.
Ilikuwa uamuzi mgumu sana kwangu kuondoka, lakini binafsi niliona ni wakati muafaka kwangu kufanya hivyo. Ukishapata mafanikio makubwa kama tuliyoyafikia pamoja na wenzangu, inaleta chachu – unahitaji kuyapata mafanikio kama hayo sehemu nyingine pia na hii niliona ndiyo fursa pekee kwangu kutimiza ndoto hiyo.
Huwezi kujua fursa huja mara ngapi maishani kwako, kwangu mimi niliona hii ni fursa pekee na ilikuwa vigumu kuiacha ipite.
(Maneno haya yamenigusa sana - karibu darajani Jembe jipya) -
Its now chance to see our dream combination with N'Golo Kante.
Hamna namna lzm Costa apigiwe magoti arudi
Morata hawezi kukupa hata CL football