ndio karudi, kawa included into chelsea squard for epl 2017/2018.
25 players with costa inclusion.
Dah saa vip kuhusu CONTE. ..kama wasipoelewana itakuwaje? Maana costa itakuwa amerudishwa na bodi tu.Costa hajawahi kuondoka Chelsea tokea aliposajiliwa, kwa hiyo lugha sahihi hapa ni... se queda
Hapo kweny kukaba sawa sababu yeye ni playmaker, so hata cku moja mctegemee atakaba ..,,,bro fabregas natambua umuhimu wake na mchango wake uwanjani, but believe me fabregas kachoka sana sio yule ambaye tulimzoea.
huyu wa saizi hana ''pace''+hakabi, yeye anasubiri apige tu pass za mwisho.
kama unakumbuka hata last season konte alitumia partnership ya conte+matic,
unafikiri kwanini fabregas alikua anaanzia benchi?????? fab sio yule tuliemzoea wasaizi anaku offer kitu ki1 tu.
last season alikua anacheza ''light game'' mfano za akina swansea, leicester.
sitegemei kuona fab akianza mbele ya bakayoko/drink water.
Dah saa vip kuhusu CONTE. ..kama wasipoelewana itakuwaje? Maana costa itakuwa amerudishwa na bodi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kweny kukaba sawa sababu yeye ni playmaker, so hata cku moja mctegemee atakaba ..,,,
Sent using Jamii Forums mobile app
He is good but injury prone!!! Wacha aende league laini kidogoloic remy joins LAS PALMAS on permanent.
bora akapate mda wa kucheza.
Sio lazima uone kila kitu, pesa isikuume sana maana huchangii hata 100. Wewe ni shabiki tuu, team ikishinda shangilia ikifungwa tuliza mshono au lalamika utulize nafsi yakoCHELSEA PESA IMETOKA NYINGI AF SIJAONA USAJILI WAMAANA
TUSIPOCHUKUA KOMBI BOLA CONTE ASEPE2
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana zouma aliomba zake mkopo mapeema, na tayari kasharudi kikosi cha team ya taifawengi wanaweza kudhani chelsea kuna tatizo kutokana na wachezaji kuikataa; lakini wachezaji nao wanaangalia uwezekano wa kupata muda wa kucheza ukizingatia world cup nayo ni mwakani tu.
Ross barkley ana injury, coleman amemuambia hana mpango nae tena, ni kweli inasemekana amekataa kujiunga na chelsea hii inaweza kuwa imesababishwa ujio wa drink water.Wachezaji kuwakataa pamoja na kucheza UCL kunaashiria nini? Yaani mchezaji anaona bora abaki Everton kuliko kuja darajani, kweli??? Yaani mchezaji anaona bora aende Loserpool kuliko kuja kwenu, kweli??? Hii sio ishara nzuri hata kidogo blauzi fans.




maana kukaba winger wenzako ni shughuli sio mchezo!!!Vp sasa, mtafaruku wao na conte umeisha?ndio karudi, kawa included into chelsea squard for epl 2017/2018.
25 players with costa inclusion.
huyo ni mamluki anavizia vizia tuSio lazima uone kila kitu, pesa isikuume sana maana huchangii hata 100. Wewe ni shabiki tuu, team ikishinda shangilia ikifungwa tuliza mshono au lalamika utulize nafsi yako
Fabrigasi ana match zake so bado ni wa umuhimu kwetuBro Kwa Cahill nasapoti ila fabregas... Yule ni Chelsea magician ata Conte anamuelewa...
Nadhani ushauckia huu wimbo uwanjan...
"¶Ohhhh,
Fabregas is magic, he wears a magic hat,
He could have signed for Arsenal, but he said no f*ck that,
He passes with his left foot, he passes with his right,
And when we win the league again, we're gonna sing this song all night..." ¶
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni shabiki wa man u asikuumize kichwaSio lazima uone kila kitu, pesa isikuume sana maana huchangii hata 100. Wewe ni shabiki tuu, team ikishinda shangilia ikifungwa tuliza mshono au lalamika utulize nafsi yako
Atakuwa kama maludaHii issue ya costa itatutafuna kma jamaa atarudi maana kwa jinsi alivyokichwa kibovu sjui kama wataweza kukaa na conte chini wakaelewana
Sent using Jamii Forums mobile app
Alifanye Maluda mbona alikua mtu poaAtakuwa kama maluda